Ukiwa unacheza mnanda kamaa GITA limefungwa mtaani Goma likikolea wakitia kibwagizo
"mikono juu mikono juu" usinyooshe
ile kususha chini kama men mfukoni washapita navyo kitambo ukijisachi hamna kitu
Singeli ni zao la KIGODOLO virtua DJ ndo ilihasisi SINGELI
Madogo walianza kwa kuzikimbiza taarabu wanapandisha pinch taarabu inaenda mperampela huku wanaingiza vionjo vyao na virtuar dj baadae wakawa wanaingiza mashaili yao
Sasa kukiwa na kigodolo mtaani mtu anachukuaa mic anatambaa na biti...
Yeah! Yeah
walikuuwa na kibwagizo chao
Maswala kudensa ooh
Maswala kubembea ooh
Kwaa jinsi familia yangu ya upande wa mama ikivyokua inaishi ningeendelea kuishi MWANANYAMALA hakika ningepotea mabinti nilichoza nao na washkaji asilimia kubwa wamepoteza kabisaa
Haaaaa mnanda ikishafika mida ya hatari vijana washavurugwa hiyo kumtoa mwali uzalamoni
Basi watagonga hii ngoma
"Watoto nyinyi ee
Kwanini hamsikii
Kila mnapoambiwa
Hamtaki kuelewa
Fujo mnatuletea
Kwenye shughuri za watu
Tunawaomba nyieeee....
Mnanda a.k.a 'GITA'
Ikipigwa live na debe lile...
umejuaje kama ipo sawa wakati umeandika inasema HARD DRIVE IS NOT INSTARED
hujanijibu ni brand gani mana dell zina mchezo ukitoa kitic HDD haisomi
au lah Check Bios pengne imejidefault kwenda UEFI Boot mode sasa change iwe legacy BIOS boot mode ili ione mfumo wa MBR wa HDD yako
laptop yako ni aina gani ni DELL ?
ushauri kwanza fungua check HDD kama ipo connected vizuri sababi kwa maelezo yako ni kwamba hapo HDD haijasoma eidha imetochomoka au BIOS setup settong zimezingua
hardware zake lowtech ambazo hata tecno anatumia kwenye simu zake hvyo lever kama za spark 2 na wenzake hao
ila samsung kacheza na camera battery kutunza moto pamoja na storage kuna wenzangu na mm hao wakisikia gb32 halafu kwa 250k kwa samsung wanachachawa
Mwanamke kazi yake sio kupika
MWANAMKE kazi yake ni kujiremba na kumstarehesha mumewe
jukumu la kupika ni la mwanamme sasa kama atapika mwenyewe au ataajiri mfanya kazi ni mume ndo atajua
hvyo mwanamme kusifiwa kupika na mkewe ni jambo la kawaida ni moja katika majukumu yake
MWANAMKE kupika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.