Recent content by miss mike

  1. miss mike

    JamiiForums Tanzania Exclusive pic: Diamond ndani ya mjengo na wanae

    Aiseee nimecheka sana,pole mkuu kwa kufuga mbu!
  2. miss mike

    JamiiForums Tanzania Inauma sana, nimemlipia mahari na ana mimba yangu lakini bado amenisaliti

    Nimesoma uzi wako nimeona huruma,pole ndugu yangu,ndio ukubwa huo. Wajuzi naona wanaendelea kukupa ushauri,jitahidi uufanyie kazi!
  3. miss mike

    JamiiForums Tanzania Babu Tale afikishwa Mahakamani na kurudishwa tena rumande...

    Bashite kashafanya yake ya kumpost na kuweka viashiria vya "daddy is coming"
  4. miss mike

    JamiiForums Tanzania Kwa wanawake tu: Hivi mnamjuaje mtu mwenye maumbile makubwa kwa kumuangalia tu?

    Aiseee,subiri wajuzi waja
  5. miss mike

    JamiiForums Tanzania Story: Kwanini Upo Single?!

    Yani nasubiria maana nimecheka hatari nasubiria
  6. miss mike

    JamiiForums Tanzania Mama Kanumba asikitishwa na kitendo cha Lulu kutolewa jela. Asema "Siku zote maskini hana haki"

    haki mchawi sio lazima abebe vibuyu na kusafiri na ungo,huu pia ni uchawi
  7. miss mike

    JamiiForums Tanzania Wolper jamani

    :D:D:D:D:D:D:D:DYule kashindikana muda mrefu sana na mapengo yake
  8. miss mike

    JamiiForums Tanzania Picha ya wasichana kwenye "Kongamano la wasioolewa"

    Hahahahaahhaahha:D:D:DMkuu umejuaje ilhali wote wamekaa
  9. miss mike

    JamiiForums Tanzania Story: Kwanini Upo Single?!

    Mimi nipo single sababu "it's complicated " ngoja niishie hapo tu dadangu
  10. miss mike

    JamiiForums Tanzania Sex Time: Nachukua muda mrefu kutosheka

    ahahhahhahaahahahhaha:D:D:D:D:D:D:D
  11. miss mike

    JamiiForums Tanzania Online status za Whatsapp za wanawake

    Ume Hakika umenena vyema,kuna wengine kuna password ya ku-unlock simu,password ya kwenye sms za kawaida,password ya kwenye contact,password ya kwenye gallery,password ya kupokelea simu(yani huwezi kupokea simu yoyote inayopigwa bila kuweka password)halafu hizi password zote ni aina tofauti,Yani...
  12. miss mike

    JamiiForums Tanzania Smart Wife

    Dear sweetheart Galore ,there is no perfect husband anywhere neither perfect wife!We all have our evilness inside us,ila kujishusha ni jambo la muhimu na msingi sana hasa kwa hawa viumbe waitwao wanaume!!Hakuna mwanaume mkali na mwenye hasira kwa mwanamke mnyenyekevu na msikivu!Halafu dawa yao...
  13. miss mike

    JamiiForums Tanzania Usiombe ukawa na mahusiano na Mwanamke wa namna hii! Utapata wakati mgumu sana maishani mwako

    Gudume kazini!!:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D "Vipi uripata ire smg bebi"??
  14. miss mike

    JamiiForums Tanzania Diamond Platnumz, Hamisa Mobetto na Nandy wahojiwa na Polisi kwa kusambaza video za faragha, wapewa dhamana...

    Yani bashite muda si mrefu atampost mondi afu ataandika "daddy is coming" Yani bashite bana,akili zake ni za kibashite bashite
  15. miss mike

    JamiiForums Tanzania Mahusiano na maisha ya Ughaibuni

    "Child Support"
Back
Top Bottom