Ningepanda kutumia nafasi hii kutuma salaam kwa watu watatu, kwanza kwa mke wangu mpenzi Mama Gaude a.k.a Mama G, nakusnakushuru sana, japo ulevi umenizidi mpaka navua nguo hadharani lakini we uniachi. Pili kwa Mama Rhoda au Hi. Kibonge kama wanavyokuita. Asante sana kwa kutudunga vyombo vya bei rahisi. Bila wewe tusingepata stimu maana bei ya bia hatuwezi kuimudu.
Tatu na mwisho kabisa ni kwa Mheshimiwa sana, Rais Dr. John Pombe Kagame Magufuli a.k.a Pogba. Tunaomba upunguze kidogo, maana vimekaza sana mpaka tumechoka kutembea kwa miguu sasa tunatambaa. Tumetubu baba, fanya mpango uweke grisi kidogo. Ni hayo tu.