Morgan Fisherman
JF-Expert Member
- Dec 10, 2017
- 1,894
- 2,228
ndoto nzur ,itungie kitab
So far maandiko matakatifu yanamtamka wazi kwamba atarudi siku ya mwisho kunyakua kanisa na kwamba kwa sasa yupo mbinguni, ina maana hakuna haja ya kutafuta mke sasa hadi baada ya maisha ya duniani kukoma kwa maana wanawake wema wanapatikana mbinguni yalipo makazi ya Mungu?Kwa Yesu KRISTO ( Sijasema kanisani)
Ahaa washajivuruga wenyewe long time sie tumempiga chura teke tunyie wenyewe ndio mmewavuruga
Dear sweetheart Galore ,there is no perfect husband anywhere neither perfect wife!We all have our evilness inside us,ila kujishusha ni jambo la muhimu na msingi sana hasa kwa hawa viumbe waitwao wanaume!!Hakuna mwanaume mkali na mwenye hasira kwa mwanamke mnyenyekevu na msikivu!Halafu dawa yao hawa ni wewe kujishusha muda wote,watakunyenyekea mpaka ufurahi na roho yako!!All i need is a perfect husband,then i will be a smart wife
😛😛😛
umeongea kwa busara mpaka nimekuhusudu 4 free...barikiwa sana dadaDear sweetheart Galore ,there is no perfect husband anywhere neither perfect wife!We all have our evilness inside us,ila kujishusha ni jambo la muhimu na msingi sana hasa kwa hawa viumbe waitwao wanaume!!Hakuna mwanaume mkali na mwenye hasira kwa mwanamke mnyenyekevu na msikivu!Halafu dawa yao hawa ni wewe kujishusha muda wote,watakunyenyekea mpaka ufurahi na roho yako!!
Kama ndio tabia yako basi jua kwenye 1000 mpo 10tuDear sweetheart Galore ,there is no perfect husband anywhere neither perfect wife!We all have our evilness inside us,ila kujishusha ni jambo la muhimu na msingi sana hasa kwa hawa viumbe waitwao wanaume!!Hakuna mwanaume mkali na mwenye hasira kwa mwanamke mnyenyekevu na msikivu!Halafu dawa yao hawa ni wewe kujishusha muda wote,watakunyenyekea mpaka ufurahi na roho yako!!
Be a smart girl/woman a perfect husband wil come.All i need is a perfect husband,then i will be a smart wife
😛😛😛
Nani alowavuruga?Ha ha ha ha ni kwel ila sio kwa hawa dada zetu waliovurugwa
I'm here for you baby galoreAll i need is a perfect husband,then i will be a smart wife
😛😛😛

Ata tz wapo wengi tu ni wewe tu na moyo wako unavyokuaminisha overNi nchi gani wanapatikana wanawake wa namna hiyo?
kumbe! Mkoa gani?Ata tz wapo wengi tu ni wewe tu na moyo wako unavyokuaminisha over
M A R T W I F E .
Asubuhi ya leo, walikuwa na ugomvi mkubwa. Jioni hii Mumewe amerudi kutoka kazini bado akiwa na hasira na mkewe.
Mume akaingia ndani ya nyumba, tayari kwa ugomvi mwingine tena...
Akaingia ndani na kumkuta mkewe akimpikia chakula akipendacho: chapati na rost ya nyama. Radio ikiunguruma wimbo laini wa kuabudu ndani ya nyumba.
"Hi Honey" mke akamsalimia mumewe...
"Hi" mume akamjibu kimkato...
Mume akaegemea ukuta wa jiko akitarajia ubishi na ugomvi uanze tena maana asubuhi hawakumalizana.
Lakini badala yake, mke akawa akiimba wimbo wa wa kuabudu uliokuwa ukisikika katika radio ndani ya nyumba huku akipika rost ya nyama...
"Umekua na siku nzuri?" Mke akamuuliza mumewe huku akiongeza mafuta kwenye sufuria ya nyama...
"Kwanini unafanya hivi?" Mume akauliza...
"Kitu gani?" Mke nae akauliza...
Mume akaanza kwa kusema, "unanifanya niwe mgumu kweli kukukasirikia"....
"Sio mimi sweetheart, ni Mungu mwenyewe, Mungu amenifunza juu ya kunyamaza"...mke akajibu..
"Hio ndio inaelezea maana ya kuabudu. Umeitawala nyumba yetu na upako wa kuabudu" mume akasema..
Mke akachukua kipande cha nyama, akakipooza na kumlisha mume wake...mume akakitafuna...
"Nimejifunza nguvu ya kuabudu. Kuabudu kunatuliza hasira, kunafanya nafsi itulie. Siwezi kuwa na hasira na mume wangu kama uwepo wa Mungu umetamalaki nyumba yangu. Siwezi kugombana na mume wangu kama amani ya Mungu inaishi ndani ya nyumba yetu"...
Akachukua maji kwenye jagi na kuongeza kwenye sufuria ya nyama...
"Unaporudi nyumbani, hutakiwi urudi nyumbani ukutane na sura ya mkeo ikiwa imenuna, hasira juu pamoja na utayari wa kuanzisha vita na ugomvi. Unatakiwa urudi umkute mkeo sura yake ikiwa na tabasamu na furaha kwa sababu Mungu amejaza neema juu yangu. Worship keeps me in check"...
Mume akamvuta mkewe, akamshika kiuno na kumbusu kwenye shingo na kusema, "kuabudu kunanifanya nikumbuke kwamba nampenda binti wa Mungu. Kuabudu kunanifanya niache kujifanya mbabe kwa sababu huwezi kuabudu huku ukiwa na hasira na sio mnyenyekevu."...
Mke akazima jiko la gesi na akamgeukia mumewe, akambusu mdomoni na kumwambia.."tuangalie kwanza asubuhi ya leo tumekua na ugomvi, lakini sasa hivi umenikumbatia hivi kwa upendo"...
"Hivi ndivyo inavyotokea pale mke wangu anavyokuwa ni mwenzangu katika kuabudu" mume nae akambusu mdomoni"...
"Mwanaume ambae anahofu ya Mungu ni rahisi sana kumpenda" mke nae akamwambia mumewe...
"Umeniuliza siku yangu imeendaje. Sikuwa na siku nzuri baada ya ule ugomvi wa asubuhi. Ila siku imeisha vizuri nikiwa na wewe kama hivi"...
Mume akapiga magoti karibu na mkewe....
"Unafanya nini Babe? Unataka kuniomba niwe mke wako tena?" Mke akauliza kwa mshangao...
"Mume akatabasamu na kujibu, "Kila siku ninakuchagua wewe uwe mke wangu. Nimepiga magoti kwa sababu nataka kumuabudu Mungu tafadhali jiunge nami"...
Mke nae akapiga magoti karibu na mume wake, mume akamshika mkono, mke akasema "Kila siku nasema ndio kuwa mke wako. Acha tuabudu.."
"Samahani kwa kukurapia asubuhi" mke akamwambia mumewe...
"Samahani kwa kuwa mkali kwako muda mwingine kwa mambo madogo" mume nae akamwambia mkewe....
Yeye na mkewe wakaabudu na kusali pamoja usiku ule...
Hakuna ndoa ambayo inaongozwa na Mungu, au ambayo Mungu yupo ndani yake itavunjika.
Bila shaka nimeongea na mtu fulani......
"Let the wife make the husband glad to come home, and let him make her sorry to see him leave." #Tusa_Mwakalobo [HASHTAG]#mtuwaMungu[/HASHTAG]
Shetani anawashambulia sana watoto wa wachungajiWANAWAKE WA DOT COM WALA HATASOMA HII maana haiwezekani, hata kama baba yake ni askofu na mama yake ni mchungaji na yeye kazaliwa kanisani, kasoma nasari kanisani, darasa lakwanza mpaka lasaba shule ya kanisa, sekondari shule ya masista.