Story: Kwanini Upo Single?!

Story: Kwanini Upo Single?!

Niko single and unmarried too because sina uwezo wa kuzaa mwanaume mwenye tatizo hilo aje tufarijiane najua yupo single
 
Mimi nipo single sababu "it's complicated " ngoja niishie hapo tu dadangu
Hukuletwa Duniani ujifiche kwenye mwamvuli wa It' complicated

Hata shule ulizosoma zilianza kuwa complicate na ukafaulu mpaka sasa umeajiriwa

Acha ukorofi Mungu anakuoooonaaa
 
Niko single and unmarried too because sina uwezo wa kuzaa mwanaume mwenye tatizo hilo aje tufarijiane najua yupo

Mimi nipo single sababu "it's complicated " ngoja niishie hapo tu dadangu


Sipo single


Ninazo best 100%
Daby lara 1 moneytalk mahondaw Smart911 Ngosha Mashine Ngosha jr Bujibuji Kyalow Tarime one Kichaafulani Homeofservices

Mje mzigo nimeshusha hapo juu
 
Viumbe wanaoitwa wanawake huwezi kuendelea kuishi nao hasa kwenye tasnia ya mahusiano bila ya kujitoa kwenye suala zima la matumizi ya pesa! So for now my focus & concentration is not all about love affairs rather than doing other things which may accelerate my tomorrow prosperity.


Mimi Niko Single sababu wanawake wa Siku hizi hamna uaminifu


Nipo single kwa kuwa sijapata mtu mwenye nia ya dhati ya kuolewa.
Nikimpata naweka ndani (U-single hauzoeleki)


Ukioa au kuolewa na mhuni,kila siku itakuwa Foolish day. Lakini,ukiwa single,kila siku ni Independence day.
Ila mleta mada na mitalimbo ya watu,hapo ujue kama meshaushea si wa mtu tena,bali ni wa watu wengi,hivyo haina shida ukipewa we kalia tu.


Ni ndani ya mwaka huu nitajitahidi nipate jiko


Mi nipo Single kwa kuwa nikiwafuata PM mabinti wa humu huwa sijivungi kuwatumia picha yangu ila wote huishia kunikimbia maana huwa wanadai eti NISIJE KUWAUA BURE kwa kuwamalizia Oxygen tutakapokuwa faragha maana nina Boooooonge la pua.
Hadithi imeshuka page ya 6
 
mm sitajibu sababu sipo Single, bali nitafuatilia hatua kwa hatua


Wanakujaa


Nipo single kwa sababu nina desturi ya kuziheshimu pesa!


Hamna maisha ya raha kama ya single.


Nipo single sababu najipenda mimi sana.


Nipo single kwa sababu nina desturi ya kuziheshimu pesa!


..... Ntarudi

Page ya 6 mzigo umeshashuka
 
Nilijalibu kukaa na mwanamke mwezi mmoja tu dah! Kiukwel nilikonda
1.kodi ya meza kila asubuhi msimbazi ,kibato hakikidhi
2.SAA 2 niwe ndani ,kiukwel sio kuku
 
Back
Top Bottom