Kwamba wewe unasema sio malezi? Hivi kweli umlee mtoto kwa upendo na bado awe na nguvu ya kupingana na wewe? achilia mbali kukupiga.....
Malezi
Malezi
Malezi
Mwenye jina amekataa kulitumia UCHAWA mmbaya sana
CHADEMA tutachanga haswa hata wakisema tuchange ya Heche kwenda kunywa komnyeso hatuna shida tutachanga tuu mwaya
Ukishangaa ya kange utakuna na Mbezi... unakaa stop/Kimara Temboni Suka sijui Korogwe sijui Baruti shurti ushuke huko Mbezi ati haliwezi simama tena vituo vingine inabidi uanze kutafuta gari lingine na kuondoka hizi akili za kitanzania hizi za viongozi wanaojiweka madarakani hawa.... mmmmh Once...
Huyu mtu ukiona lile furushu kule nyuma kwa me jua basi kichwani hakuna kitu kabisa.................. mtu amebeba furushi kubwa kuliko hata Asha ndala ndefu?
Haya acheze na bit na hao watu sisi yetu macho na kusikiliza ukizisngatia wala havihusiana na petrol kupanda na mlango wa hamasi sijui...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.