Chadema 2030
JF-Expert Member
- May 5, 2025
- 1,915
- 3,748
- Thread starter
- #41
Wadada wakisiha nawafahamu mkuuHata hapa kwetu Lawate kuna baadhi ya wanawake ni wajeuri haswaa
Wadada wakisiha nawafahamu mkuuHata hapa kwetu Lawate kuna baadhi ya wanawake ni wajeuri haswaa
Ina-depend na muda mlio kaa kwenye uchumba kabla ya kuingia kwenye ndoa.Kumbuka kabla ya kuishi pamoja kila Mtu anakuwa Malaika.
Nawe soma uelewe ndio comment or replywatoe wanyaturu kwenye list wapo romantic sana
Yes hukuelewa vzr nilikuwa naorodhesha makbila yote yeye aende kuoa Kenya wanaojiona wanajua kuliko Waafrica woteLabda sikuelewa vizuri. Unamaanisha wanazingua au wapo safi
Binafsi naona wanawake wakenya ni wazuri sana ila ukiwa nae lazima utumie akili mara kumi kuliko utakayo tumia ukiwa na m bongoWakikuyu hasa wanawake ni wakatili balaa hizi sio hearsay tunashuhudia walio waoa
Mkikosana ana kimbia na watoto na unaweza usiwaone nashindwa kuwaelewa
Akishaweka Rasta kichwani na avae raba ya buluu baasii ni juu tunasonga mazee, na mko aje cc min -me
Juu inabidi tusonge mazee na wako na warembo burooh 🤣Binafsi naona wanawake wakenya ni wazuri sana ila ukiwa nae lazima utumie akili mara kumi kuliko utakayo tumia ukiwa na m bongo
Wako na mapupu kubwa manzeJuu inabidi tusonge mazee na wako na warembo burooh 🤣
Akili za wanaume wapumbavu izi.Vijana huwa wanajiongopea sana oh Demu kanipenda mimi sina hela ni mapenzi tu ,hawajui vizuri mademu.....Demu kuna kitu ameona kwako so kwa kipindi cha kukusibiria wewe ufike anapokuona ndiyo hapo kwa pembeni anatafuta backup ya kumuhudumia.
Ukitaka ufurahie oa wataita ni watamu na wazuriKuna msela wangu ameoa kenya ila alikuwa aninihadithia simuliz yake ya ndoa kuwa alifanikiwa kuoa mkikuyu. Alinieleza anajutia kuoa huko. Mke wake anamtukana mbele ya watoto na ni mjeuri sana haambiliki.
Huwa anampenda akiwa na pesa asipokuwa nayo ni ugomv mtup.na amemtishia toka siku nyingi atamuacha na aondoke na wanawe.
Baada ya kukaa bongo kwa miaka 2. Siku moja baada ya kutoka kazini alikuta mkewe kasha ondoka na wanawe, alijarib kumpigia simu ila haikupokelewa.
Jamaa anajutia sana kuoa mkenya saivI mda wake ushaenda na kuoa saiv noma, alikarirI kuwa wakenya hawafai