Recent content by Miss Bunyeta

  1. Miss Bunyeta

    JamiiForums Tanzania Hospitali Kuu ya Taifa Muhimbili yapokea vitanda na magodoro

    Wadau mtoa taarifa kapotosha sio vitanda 500 ni 300 na magodoro 300..mtu kama hujui kitu usikurupuke na kuongea tu bila kuwa na hakika na uandikacho..Asanteni
  2. Miss Bunyeta

    JamiiForums Tanzania Wana JF, Naomba kujuzwa juu ya pishi liitwalo Stima

    This style of fish is superb nampikia mume wangu leo dear am in love with it asante sana king'ast
  3. Miss Bunyeta

    JamiiForums Tanzania Navunja mji kwasababu mke wangu ana matumizi makubwa ya pesa

    Kaka samahani tunaomba kujua umri wako na wa mkeo
  4. Miss Bunyeta

    JamiiForums Tanzania Wanawake wakibeba mimba wanatukomoa

    Haya nimenote hapa kati ya wachangaji wengi ni baba vijacho hongereniiii
  5. Miss Bunyeta

    JamiiForums Tanzania Mwanamke huyu ana matatizo gani?

    Km nguo havui ushirikiano kwa bed unakuwepo? Au ndo ile kusoma gazeti?
  6. Miss Bunyeta

    JamiiForums Tanzania Audio: Askofu Gwajima aelezea mkasa wa kilichotokea

    hii kubwa kuliko
  7. Miss Bunyeta

    JamiiForums Tanzania Apology to JF members

    hi Lara mambo? za masiku? hii topic inayoombewa msamaha ni ipi nipe heading niisome mylove
  8. Miss Bunyeta

    JamiiForums Tanzania Nimepatwa na upofu

    damn it
  9. Miss Bunyeta

    JamiiForums Tanzania Nimepatwa na upofu

    Kipilipili heri yako wewe genius mwaya tuache sisi mambulula
  10. Miss Bunyeta

    JamiiForums Tanzania Nimepatwa na upofu

    asante kikalove
  11. Miss Bunyeta

    JamiiForums Tanzania Nimepatwa na upofu

    miss chagga ndo tumefikia hapa? si watakuwa wanahamisha Jeshi kdgkdg?
  12. Miss Bunyeta

    JamiiForums Tanzania Nimepatwa na upofu

    hhahaa samsun usintanie
  13. Miss Bunyeta

    JamiiForums Tanzania Nimepatwa na upofu

    sielewi Zamaulid ndo silaha zatoka china kutulinda ama?
  14. Miss Bunyeta

    JamiiForums Tanzania Risasi zarindima, Majambazi wawili Raia wa Italia watiwa Mbaroni

    so sad hii hali inatisha
  15. Miss Bunyeta

    JamiiForums Tanzania Nimepatwa na upofu

    Wanajamvi naomba mnieleweshe mnaielewaje hiki kibango? naamini wengi tumepita tukakiona katika vituo vya mabasi ya mwendo kasi mnakielewaje tafadhali?
Back
Top Bottom