Mystery
JF-Expert Member
- Mar 8, 2012
- 15,842
- 31,073
Umepatia miss chagga, ya kuwa kampuni ya ulinzi toka China, ndiyo imepewa tender ya kuilinda hiyo barabara yetu ya mwendo kasi, kwa kuwa wameona kampuni nyingi za ulinzi zilizopo hapa TZ haziaminiki tena, kwa kuwa zinaonekana kama zimeajiri 'vibaka' watupu!wachina wanakuja kuwa walinzi wetu