Hahahaaaa... Hatari sanaLabda ungesema kama ana ma.ti.ti na sura ni ya kike ungeeleweka bila kuachia waluokujibu kuandika mengine na kutogesi majibu.
Pole
mdake akiwa bafuni akioga?
Tafuta taa za rangi au zimeni taa washeni mshumaa
Sikupenda nije nitoe siri zake hapa ndani lakini sina jinsi nimechoka. Nina mpenzi wangu tuna mwaka mmoja nae tatizo ni kuwa tukifanya mapenzi hataki kuvua nguo zote na wala hataki niuone uchi wake.
Na pia hapendi nimfanyie ma#romance wala nimchezee sana, nilimwambia akasema kuwa yeye ana aibu siku moja nilimvulia nguo zote ikawa ugomvi mkubwa,
Hivi wanajamvi ni kweli aibu au kuna tatizo gani kumbuka tuna zaidi ya mwaka mmoja katia mahusiano.