Inasikitisha sana hiki kizazi cha sasa kinapoelekea watu hatuna tena hofu ya Mungu jambo kama hili si la kuhalalishwa,Mke ama Mme uliyenae ni mpango wa Mungu huo kama kuna differences sort them out hii dunia tunapita tu kuna siku utajibu kila kitu ulichokua ukikifanya hapa duniani!samahanini...
Mkuu siwez kubishana na wewe hayo mambo yapo na wewe hukua na strong foundation na Mungu kanisan huendi kusali hausali na ndo maana imekua hvyo,jenga uhusiano na Mungu funika eneo lako lote kwa damu ya Yesu kila unapoingia na kutoka.Mchungaji atakuombea ila vita ni ya kwako wewe jifunze...
Huyo kweli hajielew anafurahia starehe zako tu mpaka anaomba atolewe lol kwanza atakua limbukeni sidhan kama kuna haja ya mdada anayejielewa kuomba yeye atolewe kizuri kinajiuza chenyewe.
Lakini mke wako si anajua hali halisi ya maisha yenu?yeye ndo alitakiwa kuwa mstari wa mbele kuwaeleza wazazi wake kwamba bado hamko tayar kwa sasa na pili kuwajengea ni hiari yako na si lazima kama itakupendeza ukiwa na uwezo huko mbele utawajengea.
mwanaume ambaye atakua na mapenzi ya kweli,mwaminifu na heshima kwa mwanamke msomi mwenye kazi yake bas hakutokua na differences zozote kati yao zaidi ni maelewano na kusaidia popote mnapokwama na hiyo ndo familia bora.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.