Recent content by Misitu

  1. Misitu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke wangu ameniacha njiapanda

    Hapo mke huna ndugu yangu. Hilo penzi lao ni hatari na lipo live ushahidi ni mawasiliano yao. Pia huyo mwanamke anampenda jamaa yake hatari kiasi kwamba aliamua kukudanganya. Je uendelee kuishi naye huku humuamini au uanze upya. Hata kama alitembea naye kabla ya kuwa na wewe why wanawasiliana...
  2. Misitu

    JamiiForums Tanzania Tukiachana na ugumu wa Maisha, Tanzania ni moja ya nchi zenye vijana wasiojitambua kwa kiwango kikubwa

    Naungana na wewe mkuu. Vijana wa Tanzania kama alivyoeleza mtoa mada ni kweli kuna tatizo. Mimi nimeona na kujiridhisha hasa utendaji kazi vijana wengi hawapo makini kama vijana wa nchi zingine. Wakipewa kazi hawafanyi kwa umakini na kujali muda pia mazungumzo yao mengi hayana tija ktk kujenga...
  3. Misitu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanamke aliyedhani kwake sichomoi, nilivyo mpiga na kitu kizito

    p
  4. Misitu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Umbo la miguu na mpira wa miguu haviendani!

    Upo sahihi, hata ukimchukua mtoto mdogo uanze kumfundisha basic za mpira utagundua mpira na miguu haviko sawa, ila anavyozidi kujifunza ndo mfanano wa miguu kwenye mpira huongezeka, hii ina maana kujifunza mpira tangu mdogo kuna utofauti mkubwa na ukiwa mtu mzima. Nimeshuhudia mtu mzima asiyejua...
  5. Misitu

    JamiiForums Tanzania TANZIA Aliyekuwa Askofu Mkuu wa TAG, Prof. Rainwell Mwenesongole wa Upanga CCC ametwaliwa na Bwana!

    Wakati wa JPM huyu hakuwa askofu mkuu wa TAG.
  6. Misitu

    JamiiForums Tanzania Hii gari niliyonunua sijapigwa hapa?

    Mkuu, Nakuhakikishia hujapigwa. Binafsi ilinitokea Be Forward nilinunua gari tarehe 19 May 2021 nimepokea gari August 21, 2021. Tatizo corona imeleta shida biashara na usafiri wa meli. Nilipata gari bora kabisa. Uwe mvumilivu hizo ni kampuni kubwa huwezi kudanganywa.
  7. Misitu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hili draft la Dalmax la Google Play limenishinda aisee, hii app ina mchezo mkubwa sana

    Pia unapocheza kuna codes zinajiandika, naamini njia zipo coded huwezi kumshinda kizembe.
  8. Misitu

    JamiiForums Tanzania Anguko langu kiuchumi lilianzia hapa. Wakuu tuinuane

    Mbona kataja ana miaka 36
  9. Misitu

    JamiiForums Tanzania Kibanda cha Bati kwenye kaburi la Hayati Magufuli kinatia aibu

    Pia tangu lini wakaezeka na juu ili ujenzi uendelee nje?
  10. Misitu

    JamiiForums Tanzania Kariakoo imehamia Stendi ya Magufuli, Mbezi Louis

    ...Zaidi ya Ulaya.. ? Ulaya ya wapi ya kufananisha?
  11. Misitu

    JamiiForums Tanzania Msaada: Anayejua kuhusu Karaga Mti (macadamia nuts)

    Ndiyo mkuu, na ni kiungo chenye virutubisho kuliko karanga. Unaweza kugoogle "macadamia farming in malawi" kuna video ya wanavyotumia macadamia kama kiungo kijijini huko
  12. Misitu

    JamiiForums Tanzania Msaada: Anayejua kuhusu Karaga Mti (macadamia nuts)

    Ndiyo wapo ila mwakajana ndo waliniunganisha mimi na Lima ambao ni Vwawa. Nilichojifunza kwa sisi watanzania watu wanaongea sana ila ukienda ktk uhalisia si hivyo. Kwa mfano mwaka jana niliwasiliana na jamaa yupo SUA akasema miche ipi na grafted na ya kutosha lakini nilivyofika pale miche haipo...
  13. Misitu

    JamiiForums Tanzania Msaada: Anayejua kuhusu Karaga Mti (macadamia nuts)

    Ndugu Matindi94, Kujibu maswali yako napenda kukupa uzoefu kama ifuatavyo kwa sababu mimi pia ni mdau katika kilimo cha Macadamia. Macadamia (au karanga mti kwa kiswahili) ni zao jamii ya nuts au karanga kama vile korosho. Hustawi vizuri katika maeneo ambayo hulimwa parachichi, kahawa au...
  14. Misitu

    JamiiForums Tanzania Msaada: Tumetapeliwa!

    Mkuuu huo wizi ulitokea pia hapa Njombe jamaa yangu mke wake alikutwa na issue kama hii. Jamaa walikuja na issue za namba za tigo ila waliiba hela kupitia simbanking milioni 2 iliyokuwepo bank, pia simu ya mke wa jamaa yangu hao wezi waliishika kama anavyoeleza mhusika, ila baada ya wale wezi...
Back
Top Bottom