.....ni huzuni kuu..... ila for future tuangalie na hizi "School Bus" za kawaida kila siku,. sheria inasemaje?,... maana nyingine ni mbovu na zinabeba watoto wengi kwa pamoja,. ndio kuna shule ambazo wanazo gari zao za shule ambazo nyingi ni nzuri,.. vipi kuhusu hizi daladala zinazogeuzwa kuwa...
Duh...hii ni kweli kabisa.,lkn hili si jimbo la Mbatia?, sasa labda tusubiri apewe kazi na JPM ya kutumbua majipu kama anavyoomba kulingana na ahadi aliyopewa kipindi cha kampeni
Kifo cha Dr. Mvungi: Madaktari wa Muhimbili na Afrika Kusini watofautiana Kilichomuua Dk Mvungi
Hospitali ya Millpark ya Johannesburg, Afrika Kusini, imesema madaktari waliokuwa wakimtibu aliyekuwa Kamishna wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Dk...
HACKER: Edward Ernest Kutingala
Duh.....hatari! atakuwa jamii ya huyu hapa, naye ni mpigaji wa mtandao staili hiyo hiyo, ila huyu anatumia benki zaidi, ni hacker, majina anayotumia pia mengi tofauti tofauti leo Mike kesho Ernest n.k
Dear.........
> Thank you...
huyu Yahaya tunayemjua,aliyesema ana fedha mara tatu zaidi ya UKWA wote, mbaguzi kila krismasi anayejijengea barabara ya kwenda kwake pekee akiiepuka barabara ya upande wa pili ambayo ndio njia kuu ya kwenda kwao Old Moshi Kidia
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.