Elections 2015 CHADEMA/ UKAWA wakitaka kuichapa CCM wamchague Tundu Antiphas Lissu kupeperusha bendera ya Urais

Simplicity.

JF-Expert Member
Dec 19, 2013
2,636
1,656
CHADEMA (UKAWA) wakitaka CCM wachanganyikiwe mwaka huu, na kubadilisha mchezo mzima wa kunyang'anyana kiti cha urais, Oktoba, 2015, wamchague Tundu Antiphas Lissu kupeperusha bendera ya UKAWA/CHADEMA. Kwa mjibu wa utafiti wangu, watu wanamwona Lissu kama "GameChanger".

Vitu vitakavyowavuta wananchi na kuamua kumpa T. A. Lissu kura zaidi ya asilimia 90 ni hivi hapa:

1. Uzalendo wake wa kuipigania nchi kwa dhati. Tumeona jinsi anavyosimamia ukweli bungeni na kuwavua nguo mafisadi (akiwemo John Pombe) bila woga wala kuogopa mtu yeyote. Jina lake na rekodi alizoziweka bungeni mpaka kesho zinarindima kwenye vichwa na masikio ya wananchi.

2. Ni msomi "pragmatic" mwenye weledi wa hali ya juu wa kujenga hoja "consistently", "logically" na kuzisimamia mwanzo mwisho.

3. Ana akili timamu, sio za kukopa wala za kuchanganya, ana uwezo mkubwa wa "kutrigger mental faculties" na "kureact" "contingently" kwa kuangalia hali halisi. Kwa hali hiyo ataweza kukabiliana na maswali ya aina yoyote na kuyajibu kwa unyoofu bila kusuasua wakati wa kampeni za kuwania urais.


4. Ni Kijana mwenye nguvu, "very energetic" na "mechanical", Magufuli hakaribii hata 1/4. Kwa hali hii atakimbiza kwenye mchakamchaka wa kampeni mwanzo mwisho.

5. Ana "data" mpaka "anaboa" ambazo atazitumia kuwashtaki maCCM kwa wananchi. Ana uwezo wa kufanya "derivations" zinazohusu ufisadi na udhalimu wa CCM mpaka watu "wablow"!

Badala ya kukariri data za urefu wa barabara na idadi ya dagaa ziwa Victoria kama afanyavyo Magufuli, zisizokuwa na mantiki yoyote kwa mustakabali wa nchi, yeye uwezo wake upo kwenye "kuerupt detailed logical data" na kuzitumia "kuvalidate" jambo analolisismamia.

6. Ana uwezo wa kuongea kwa sauti kubwa na inayosikika vizuri ukilinganisha na Magufuli ambaye kiswahili tu ni shida, zaidi ya kuimba nyimbo za ajabuajabu kwa kiswasukuma kama vile "mselema mselema mselema" na kauli ya "sitawaangusha wanaCCM wenzangu".

7. Kikwete mwenyewe atatetemeka sana atakaposikia Lissu anagombea urais kwa tiketi ya CHADEMA/UKAWA maana anamwogopa Lissu kuliko mtu mwingine yeyote hapa duniani, kama unabisha kamwuulize yeye mwenyewe. Hofu na kihoro atakachokipata Mh. Kikwete kitaambukiza wanaCCM wengine, na CHADEMA/UKAWA itakuwa imeshinda vita kabla ya kupigana. Tundu Lissu kwa Kikwete ni "Devastating". J. M. Kikwete anamwona Tundu Lissu kama jinamizi linalokaba na kutoa roho ya mtu!

8. Mtaani ninapoishi, sehemu ninapofanyia kazi zangu za kila siku, na wapenda mabadiliko wote kutoka CCM na CHADEMA/UKAWA, hata wasiokuwa na vyama wanasema Tundu Antiphas Lissu ni zaidi "SEAL Team Six" kwa CCM.

 
Lissu anafaa sana ila kwa mwaka huu naona Magufuri hana mpinzani.
 
Lisu hana uwezo wa kuwa Rais, msiongee mambo kwa ushabiki.
Lisu ni mzuri but not for presidency
 
Ukimpa Lissu urais viongozi wengi wa CCM watakimbia nchi hii maana hatawaacha salama
 
Lissu urais hafai..hana busara,.anakurupuka sana...

Mwisho wa Lissu ni kuwa Waziri wa Sheria, period....Rais hatakiwi kuwa kama mlevi full time..!!
 
Hiyi point # 3 rekebisha...huyu jamaa sometimes zinafyatuka anakimbizwa Dom...unless utuambie kuw Ikulu itakuw Dom karibu na Milembe
 
Lissu urais hafai..hana busara,.anakurupuka sana...

Mwisho wa Lissu ni kuwa Waziri wa Sheria, period....Rais hatakiwi kuwa kama mlevi full time..!!

Hata magufuli miaka nenda rudi wote tulisema hafai urais ni wa kukurupuka ila leo ndio mgombea wa ma ccm

Bila shaka hoja ya mwenye uzi ina mashiko, hata tundu lissu anabadilika maana ni mtu kama mtu mwingine anajiseti kulingana na area

Tatizo mnataka rais awe kama robot muda wote serious

Naiman hata Kurunzinza angekuwa raisi wa Tanzania kwa jinsi anavyochezaga mpira kwa wa wabongo mngesema hafai maana anacheza mpira sana na sio presidential material

Urais ni akili timamu tu. The rest ni mbwembwe

Tundu lissu can make a good presidency tukashangaa
 
Tundu lisu ni kifaa lakn je makupe yatamwachia agombee?
Yatamkuta ya Chacha wangwe.
N
bora abaki na ubunge tu aendelee kuleta amsha amsha.

Nina uhakika huyo kijana angesimamishwa Hata Magufuli angepata mtihani...

Lakn yatasimama yaleyale kazi kukoroma tu kama kenge wa shimon
 
Na ukawa wasipomleta kura hazitatosha, lissu ni zaidi ya rais wa Tanzania
 
Hill ndilo neno takatifu la Mungu.
Kwani kikwete alienea pale magogoni. Mbona robotatu ya muda wake alikuwa nje ya ikulu na mambo yakawa yanaendea. Though kihalijojo lakini kamaliza miaka kumi na sasa anaaga. Kazi hii ndiyo ya kumshinda Tundu Lisu. Tundu ni super presidential material sio :msela:pombe:A S-key:
 
kikwete na familia yake watangulie madagasar teh teh...sio.yule chizi magufuli ana kariri barabara data useless
 
Back
Top Bottom