Hii barabara ya kwenda kwa Mrema, Kiraracha inatia aibu

manSniper

JF-Expert Member
Sep 9, 2015
814
679
Kwa mtu anayekuja huku Kiraracha kwa Mrema awe makini maana tairi zote zitapasuka. Barabara ni mbovu sana inatia aibu kabisa, mbona haitengenezwi na hela za Road fund zinatoka?
 
Duh...hii ni kweli kabisa.,lkn hili si jimbo la Mbatia?, sasa labda tusubiri apewe kazi na JPM ya kutumbua majipu kama anavyoomba kulingana na ahadi aliyopewa kipindi cha kampeni
 
Kwa mtu anayekuja huku Kiraracha kwa Mrema awe makini maana tairi zote zitapasuka. Barabara ni mbovu sana inatia aibu kabisa, mbona haitengenezwi na hela za Road fund zinatoka?
Halafu alikuwa mbunge kwa muda gani?
 
Back
Top Bottom