Recent content by misedemideheki

  1. misedemideheki

    JamiiForums Tanzania JamiiForums Usiku wa manane

    Leo zamu yangu
  2. misedemideheki

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanaume Unapotaka kuoa zingatia hizi red flags

    Hapa kwenye kipini puani natetea kidogo
  3. misedemideheki

    JamiiForums Tanzania Watu wanadhani umri wangu ni mkubwa tofauti na umri wangu halisi, je sababu yaweza kuwa nini?

    Tuone picha ya sura na umbo tujiridhishe
  4. misedemideheki

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nilipopanga kuna wadada muda wote wanasema tap tap screen, nimakelele tupu

    Sasa unahama kwa makelele yao unahama kwa kupiga vizinga au unahama kwa kuwa macho mpaka saa9 usiku
  5. misedemideheki

    JamiiForums Tanzania Hii hapa Miji na Wilaya 60 zenye mapato mengi na mzunguko mkubwa wa biashara Tanzania

    Kwahiyo moro mjini na chalinze kama zinakaribiana🤔🤔 kuna kitu hakipo sawa kichwani mwangu
  6. misedemideheki

    JamiiForums Tanzania Nimeshindwa waelewa Wairan mpaka sasa. Nilianza furahia. Iran imerusha Mafataki Israel?

    Naomba nijuzwe kwani chanzo cha vita au sababu niipi?
  7. misedemideheki

    JamiiForums Tanzania DART Special Thread: Tunaomba Maoni Ushauri, Malalamiko, Pongezi na Mapendekezo kuhusu Mabasi ya Mwendokasi

    Kama 50 changamoto nauli iwe 700 au 800 mana mimi zinaniuma sana kumwachia mkata tiketi
  8. misedemideheki

    JamiiForums Tanzania Mtabiri nchini Libya aitabiria Simba kuingia nusu fainali

    Mtabiri kashafeli walahi kichwa mchunga simba anakiwekea imani🤭🤭
  9. misedemideheki

    JamiiForums Tanzania Siku ya Kondomu Duniani - Februari 13

    Mbona mnatuchanganya leo siku ya kondomu au siku ya redio??
  10. misedemideheki

    JamiiForums Tanzania Umewahi tembea umbali gani mrefu kwa miguu ndani ya jiji la Dar es Salaam?

    Mwananyamala A hadi bunju B nilitembea kuanzia saa9 alasiri hadi nafika bunju saa2 usiku
  11. misedemideheki

    JamiiForums Tanzania Kwa sasa mambo yote ya hovyo yamerudi nchini tufanyeje tuikomboe nchi yetu tena?

    Nchi nzima ina mabango ya rais utasema watu hawamjui rais wao
  12. misedemideheki

    JamiiForums Tanzania Kuna dalili mwaka huu 2024 kuwa na majanga mengi ya kiasili.

    Hakuna janga wala nini tena mwaka huu ndio mwaka wa mavuno mengi mana mvua zimeanza novemba na tunazo mwaka mzima
Back
Top Bottom