Recent content by Miruko

  1. M

    Ukweli ni kwamba Magufuli alikataa kata kata boti za Azam kwenda ziwa Victoria

    Imebidi nirudi hapa kuona kama naweza kupata ufafanuzi kuhusu hii boti ya sasa inayosafirishwa na Serikali kutoka Mtwara kwenda Mwanza, ambayo nadhani ni kubwa kuliko zile boti za Azim Dewji
  2. M

    Najiuliza tu, Rais Magufuli atafanyaje Kampeni 2020?!

    Hii ndiyo point. Huenda kura zimeshahesabiwa
  3. M

    Tunauza tiles (marumaru) za kila aina

    kws size hii ya chumba, vii kq 40×40
  4. M

    Kutoonekana kwa Viongozi/Mwakilishi wa Vyama vya Upinzani Katika Msiba wa Mke wa Mwakyembe

    Kwa hiyo Frederick Sumaye si kiongozi wa Chadema? Mbona huyo hapo pembeni mwa Shyrose
  5. M

    Hivi hii ni kweli au ananitega? Ushari wenu ni muhimu

    Hapa nimba tu, nashangaa wengi wanakimbilia ukimwi
  6. M

    Dagaa wasio na mchanga wa Musoma

    Kwa Dar wanapatikana wapi?
  7. M

    Mhariri Mtendaji wa Uhuru aliyetimuliwa atinga semina ya TANAPA

    Huu ni uongo. niko kwenye huo mkutano, kulangwa hayuko hapa
  8. M

    Gazeti la Mwananchi laendeshwa kwa hasara

    Ramli tu, hakuna hata robo ya ukweli. nenda kwa vendor yeyote, muulize gazeti gani linauza zaidi utapata data kuntu na research utakuwa umefanya mwenyewe bila kusubiri kulishwa data pori
  9. M

    Hali mbaya ya mauzo yasumbua Gazeti la Mwananchi, wafanyakazi wapata hofu ya kuachishwa kazi

    huu ushahidi pia kuwa mleta mada si mkweli, bali ana lake jambo
  10. M

    Hali mbaya ya mauzo yasumbua Gazeti la Mwananchi, wafanyakazi wapata hofu ya kuachishwa kazi

    Tatizo mitandao uongo mwingi, kama huu, ndiyo maana nagazeti kama Mwananchi yanasimama hadi kumtisha mleta mada
  11. M

    Hali mbaya ya mauzo yasumbua Gazeti la Mwananchi, wafanyakazi wapata hofu ya kuachishwa kazi

    Kinyume chake, uongo kama huu ndiyo sababu ya kupungua umaarufu wa jamiiforums
Back
Top Bottom