Tunauza tiles (marumaru) za kila aina

Tunauza tiles (marumaru) za kila aina

Kuna mzigo wa India na baadhi ya wall za china tunaleta wenyewe brand yetu ni flymass

Pia tunauza tiles za twyford aka sunda,

Ila brand si muhimu sana sababu ukienda china hata wewe unaweza ukaleta mzigo wako ukaitwa nyanyando ni gharama ndogo sana kutengenezewa custom box.

Cha muhimu ni kuangalia specification zatiles na mahitaji yako, hasa finishing

asante mkuu, suala la usafiri kwa sie tulio kanda ya ziwa. linakuwaje?
 
315cmx255cm ni sawa na sqm 8.035

assume unaeka tiles za 30x30

tiles za india shilingi 13,000 piece 11
piece 11 kwa 30x30 ni sawa na 0.99sqm ambayo ni sawa na kusema ni sqm 1 tu.

hivyo hicho chumba kitaingia box 8 gharama yake ni shilingi 104,000 au unaweza ongeza box moja sababu ya hio 0.035 japo sio lazima.

tiles za china shilingi 18,000 piece 17
box moja ni sqm 1.53 kwenye hicho chumba zitahitajika box 5.2 hivyo unaweza nunua box 5 ila vyema zaidi kununua 6 ili uwe na uhakika zaidi wa hio 0.2,
box 5 ni 90,000
box 6 ni 108,000
kws size hii ya chumba, vii kq 40×40
 
Kiongozi niombe idadi ya box na gharama za indian tiles, nyumba ina ukubwa wa meter square 213
 
Nilikutafuta siku fulani hupatikani bosi nikirudi nita ku check tena
 
Hemedans, hivi bado unafanya biashara ya kuuza tiles? Kama ndivyo tuwasiliane nikupe biashara.

Tiba
 
kama una mahitaji mbali mbali ya tiles za bei nafuu na zenye ubora wa hali ya juu usiwe na wasiwasi kwani HUFAT Group wamekufikia, utapata tiles za kila aina, wall tiles, floor tiles na accessory zake kama vile grout, strips, spenser na waterproof cement.

wall tiles
zipo za ukubwa huu
-25x40
-20x30
-30x45
-20x60
-30x60

hizi ni baadhi ya sample
v8MJHYn.jpg

hizi ni tiles zetu nzuri sana zenye finishing kama mawe ya Tanga , tiles hizi hufanya ukuta uwe na feel ya mawe, chipping au vitofali vidogo vidogo
g3IPXf1.jpg

kama unavyoona kwenye picha, kushoto ni ukuta uliotumia mawe ya tanga na kulia ni sample za tiles

bei zake hizi ni shilingi 28,000

UKLLOYv.jpg

tiles hizi ni za ukuta ambazo unaweza kuzitumia mahala popote, kuanzia ukuta wa nje, wa ndani, chooni, kwenye nguzo nk, uzuri wake ni kwamba zinakaa piece nyingi hivyo mfuko pia unaulinda. finishing ya tiles hizi inazifanya zing'are kwenye mwanga, unaweza hata ukaiona sura yako.
bei yake ni 16,000

floor tiles
zipo za ukubwa huu
-30x30
-40x40
-45x45
-50x50
-60x60

t1Qfwsk.jpg

tiles hizi ndio common kwenye tiles za sakafu, hata bei yake sio kubwa sana, finishing yake inakwaruza na haitelezi hivyo kuzifanya ziwe nzuri kwenye maeneo yanayoingia maji kama jikoni, bafuni, chooni, kwenye corridor etc unaweza pia kueka maeneo mengine ya nyumba/ofisi. pia bei yake ni nafuu kuanzia 13,000

2uQyc6S.jpg

hizi ni tiles kubwa sana za sakafu zipo za granite, marble na rust tiles hizi zipo zinazo ng'aa, kama umewahi kwenda chuo kikuu dodoma ule ndio mfano wake na zipo ambazo hazitelezi zenye finishingi ya rust. hizi zinafaa project kubwa, shule, vyuo, maofisi na nyumba kubwa

bei as cheap as 33,000

tiles za bei nafuu
BstRDoJ.jpg

tiles hizi zinauzwa shilingi 8,000 tu kwa box na zinakaa piece 16, ni nzuri kwa watu ambao mfuko sio mzuri

unahitaji tiles ngapi?
kama unafahamu ukubwa wa eneo lako na unahitaji tiles unaweza kusema hapa ili tufanye mahesabu, mfano utasema chumba changu kina mita 3 kwa 3 nitakuambia idadi ya box za tiles husika unazohitaji

kusave mb
kusave mb zako nimeshindwa kueka picha zote hivyo kama unataka picha zaidi tunaweza wasiliana whatsapp, au pm na aina unazotaka uzione zaidi

samahani
website yetu kwa sasa ipo kwenye matengenezo ila muda si mrefu itakuwa online

mawasiliano na mahala tulipo
tunapatikana congo na mbaruku kariakoo, duka linaangalizana na congo trading wanapouza vifaa vya mabomba na namba ya simu ni hii 0773-980000

bei
bei nimeeka kwenye picha na maelezo, inashuka kidogo kama unanunua kwa jumla
Niko Bukoba, nazipataje? Nahitaji 50*50 box 56
 
Tiles za 60x60 zinajenga eneo la square metre ngapi kwa box 1?
 
Ñahitaj 50x50 namb hazipatikani
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom