kkarumekenge
JF-Expert Member
- Aug 14, 2013
- 1,708
- 1,030
Tanzania zaidi ya uijuavyo. Yule Mhariri Mtendaji wa magazeti ya CCM, Bw Joseph Kulangwa ambaye alitimuliwa na CCM kupitia Bodi na Nape akafunga kazi, Bw Joseph Kulangwa naona tunaye hapa Mwanza kwenye semina iliyoandaliwa na TANAPA kwa Wahariri.
Sijapitia orodha ya wanaohudhuria na utambulisho wao, lakini mwenzangu mmoja humu ukumbini kasema, Bw Kulangwa kajitambulisha kuwa ni Mhariri Mtendaji anatoka Uhuru na Mzalendo.
Muda mfupi jamaa atalamba posho ya sh 50,000! Ama kweli Tanzania ni zaidi ya uijuavyo.