Recent content by mirreh

  1. M

    Ustadhi Paul Pogba atua Macca kwa ajili ya ibada tukufu ya Hijja!!

    Trump hakuwa maca na wala hata fika huko maca ni kwa waislam tu hata motoway yake imeandikwa for muslim only..kwahiyo jua hilo trump labda alikuwa jiddah au riadh
  2. M

    Saudi Arabia na Vatican city

    Yesu alikuwa mtaliani?
  3. M

    Ustadhi Paul Pogba atua Macca kwa ajili ya ibada tukufu ya Hijja!!

    MashaAllah...hapo ndio ujue watu wooote ni sawa.mali ni maua tu. Shuka hilo alilo vaa lina maana kubwa sana. Uwe tajiri uwe maskini vazi utakalo vaa ni hilo na hata ukifa unazikwa na hilo. ukiwa maka hakuna cha guci wala mk you name it. MashaAllah
  4. M

    Kenyatta uso kwa uso na Trump mkutano wa G7

    Mdomo mali yake jamani na hakuna kodi y maneno, hilo lilikuwa swali kutoka kwake haina haja ya kumtukana ni kumwelewesha tu na kumuelimisha , jibu lingekuwa inawezekana ikawa ni mvi nyingi tu lakini umri wake ukawa sio mkubwa, kingine sio dhambi kuowa mwanamke anaye kuzidi umri.
  5. M

    Hela natafuta mwenyewe, sielewi kwanini serikali inajaribu kunipangia matumizi

    Sidhani kama ni swala la aerikali ya tz na rais. Swala hilo liko controlled na wababe wa dunia western countries ni kwa sababu ya money londrie. Na sio tz tu dunia hata uk ukitaka jutuma pesa lazima ID itumike.
  6. M

    Chunusi: Chanzo, tiba na jinsi ya kuepukana nazo

    Duh si mchezo acha kabisa kutumia mikorogo ndio inayofanya hivyo. Na pia huleta saratini ya ngozi. Pole sana osha uso mara mbili kwa siku na clean and clear tube face scrub.
  7. M

    Tuhuma za mateso dhidi ya mayaya Oman, jibu la Mtanzania

    swala la wafanyakazi kuteswa hilo halina shaka. Ni ukweli kabisa. Mimi ni shahidi tosha. Tunacho waomba wabadilike tuu..na mateso ya nje ya nchi ni tofauti na ya nyumbani.heri uteswe nyumbani kuliko ugenini.
  8. M

    Kwanini nchi ya Eritrea na Djibouti huwa hazi sound kabisa kama sio nchi za Afrika?

    Duh!!!! Unatakiwa urudi shule, kuna mengi uliruka.
  9. M

    Muhimbili hospitali ya Taifa

    This is what we need kazi yao kuambia watu huruhusiwi kupiga picha. Juzi nilipiga picha kivukoni nikaijiwa na mlinzi mbio eti huruhusiwi kupiga picha. Nikapiga matukio kama haya ni ya kuweka kwenye mitandao ili watu wajue makosa yao. Big up kijana umefanya kazi nzuri sana.
  10. M

    Leseni ya udereva ya Tanzania je yaweza kutumika nchi za Ulaya

    Ndio unaweza kuendasha na leseni ya tanzania ulaya kwa mwaka mmoja tu. Baada ya hapo unachotakiwa kufanya ni kuomba provision leseni yao halafu ukafanye test ukipass watakupa leseni yao ukifeli unarudia.
  11. M

    Airport passport cotrol

    Airport passport contral section. Huduma zao ni mbaya sana na wako slow saaana, wahudumu wa kwenye ma bar na mahotel wana huduma nzuri kuliko wao. Naomba muhusika wa section hiyo awape training upya customer services ni 0 kabisa.
  12. M

    Airport passport cotrol

    Airport passport contral section. Huduma zao ni mbaya sana na wako slow saaana, wahudumu wa kwenye ma bar na mahotel wana huduma nzuri kuliko wao. Naomba muhusika wa section hiyo awape training upya customer services ni 0 kabisa.
  13. M

    Oman rial to Tanzania sh.

    Kwa muonekano wa haraka haraka utadhani real iko juu kuliko dollar au pound. Ngoja niwafahamishe kama mtanielewa.. dollar moja au pound moja ina senti 100 lakini real 1 ina senti 1000 kwa hiyo ktk kila dollar au pound 1 zimekusanyika senti 100 kufanya ile dollar kuitwa 1 na kwenye real 1...
Back
Top Bottom