Leseni ya udereva ya Tanzania je yaweza kutumika nchi za Ulaya

kijani11

JF-Expert Member
Jan 19, 2014
7,932
8,199
Ningependa kufahamu je leseni ya udereva iliyotolewa na mamlaka za Tanzania je inakubalika kwa nchi za Jumuia ya Ulaya?

Kama haiwezi tumika ni taratibu zipi mtu yampasa kufuata akiwa Tanzania ili aweze kuruhusiwa kuendesha gari kwa nchi hizo na nyingine zaidi?
 
Labda kama unaomba kibali cha kuendesha guta la Ulaya...
maana hao jamaa hawaamini chuo chochote cha bongo maana
vyuo vingi ni vya ki kanjanja...
hivyo kwa uhakiki wa lesni yako kama ni halali lazima ufanyiwe driving test ya sheria na kanuni zao
maana ulaya kuendesha gari sio process ya kukanyaga mafuta tu gariili isogee mbele...
Ningependa kufahamu je leseni ya udereva iliyotolewa na mamlaka za Tanzania je inakubalika kwa nchi za Jumuia ya Ulaya?

Kama haiwezi tumika ni taratibu zipi mtu yampasa kufuata akiwa Tanzania ili aweze kuruhusiwa kuendesha gari kwa nchi hizo na nyingine zaidi?
 
Ningependa kufahamu je leseni ya udereva iliyotolewa na mamlaka za Tanzania je inakubalika kwa nchi za Jumuia ya Ulaya?

Kama haiwezi tumika ni taratibu zipi mtu yampasa kufuata akiwa Tanzania ili aweze kuruhusiwa kuendesha gari kwa nchi hizo na nyingine zaidi?
Ndio unaweza kuendasha na leseni ya tanzania ulaya kwa mwaka mmoja tu. Baada ya hapo unachotakiwa kufanya ni kuomba provision leseni yao halafu ukafanye test ukipass watakupa leseni yao ukifeli unarudia.
 
Ningependa kufahamu je leseni ya udereva iliyotolewa na mamlaka za Tanzania je inakubalika kwa nchi za Jumuia ya Ulaya?

Kama haiwezi tumika ni taratibu zipi mtu yampasa kufuata akiwa Tanzania ili aweze kuruhusiwa kuendesha gari kwa nchi hizo na nyingine zaidi?
Kwa Uingerezaukienda na ya Bongo waweza itumia kwa muda wa mwaka mmoja tangu uingie then unatafuta ya kule.Kama hujapata bado mwaka ukikaribia ondoka nchini humo na urudi tena,itaanza hesabiwa tena ulipoingia mpaka mwaka uishe tena.Kama unaenda kwa muda huna haja ya kuhangaika.Utaendesha tu na leseni yako ya Bongo
 
Labda kama unaomba kibali cha kuendesha guta la Ulaya...
maana hao jamaa hawaamini chuo chochote cha bongo maana
vyuo vingi ni vya ki kanjanja...
hivyo kwa uhakiki wa lesni yako kama ni halali lazima ufanyiwe driving test ya sheria na kanuni zao
maana ulaya kuendesha gari sioprocess ya kukanyaga mafuta tu gari isogee mbele...
kenya
 
Ningependa kufahamu je leseni ya udereva iliyotolewa na mamlaka za Tanzania je inakubalika kwa nchi za Jumuia ya Ulaya?

Kama haiwezi tumika ni taratibu zipi mtu yampasa kufuata akiwa Tanzania ili aweze kuruhusiwa kuendesha gari kwa nchi hizo na nyingine zaidi?
Mkuu leseni yetu hata zanzibar hairuhusiwi
 
Labda kama unaomba kibali cha kuendesha guta la Ulaya...
maana hao jamaa hawaamini chuo chochote cha bongo maana
vyuo vingi ni vya ki kanjanja...
hivyo kwa uhakiki wa lesni yako kama ni halali lazima ufanyiwe driving test ya sheria na kanuni zao
maana ulaya kuendesha gari sioprocess ya kukanyaga mafuta tu gari isogee mbele...
UK ilikuwa unaruhusiwa kuitumia kwa mwaka mmoja. Sina hakika kama hii sheria bado ipo.
 
Labda kama unaomba kibali cha kuendesha guta la Ulaya...
maana hao jamaa hawaamini chuo chochote cha bongo maana
vyuo vingi ni vya ki kanjanja...
hivyo kwa uhakiki wa lesni yako kama ni halali lazima ufanyiwe driving test ya sheria na kanuni zao
maana ulaya kuendesha gari sioprocess ya kukanyaga mafuta tu gari isogee mbele...
Mkuu una uhakika na unachokiandika ama unataka kufurahisha baraza?
 
Ningependa kufahamu je leseni ya udereva iliyotolewa na mamlaka za Tanzania je inakubalika kwa nchi za Jumuia ya Ulaya?

Kama haiwezi tumika ni taratibu zipi mtu yampasa kufuata akiwa Tanzania ili aweze kuruhusiwa kuendesha gari kwa nchi hizo na nyingine zaidi?
Sina uhakika na Jumuiya ya Ulaya but i happen to be in New Zealand and Australia nilkuwa natumia Lesen yangu ya bongo kama kawaida ila ilvo expire ndio nikakata ya nchi husika , kifupi Lesseni ya udereva toka tz unaitumia nchi yoyote ya commonwealth.
 
Nenda TAA tanzania ndo wakala wa international driving permit au google utapata Maelezo yote
 
Back
Top Bottom