Kenyatta uso kwa uso na Trump mkutano wa G7

marcus rojo

JF-Expert Member
Mar 19, 2017
1,496
5,319
883ea683a854c5e3cff9ce0c673ee4ab.jpg
b0e0e8b5da2c4d90c994a23054bd224d.jpg
1ee22ea3c9b41aeca2f2e90e69d53c88.jpg
78296247358c946e6f092c7969f0307b.jpg
 
Yupo kiasili zaidi anaogopa kuja kukutana na KASHSHE siku ya mwisho

Hivi Kenyatta alimuoa Mzee Huyo Mwanamke? Maana Yeye Mdogo sana na Hana Ma Mvi lakini Huyo mama Kichwani Kama Waziri Mkuu Aliyewabia Watanzania.
 
Hivi Kenyatta alimuoa Mzee Huyo Mwanamke? Maana Yeye Mdogo sana na Hana Ma Mvi lakini Huyo mama Kichwani Kama Waziri Mkuu Aliyewabia Watanzania.
The lady is actually younger than Uhuru. Mvi ni a)genes, b)Kutotumia kemikali.
 
Utumwa na ujinga wa kimaendeleo ni kusifia ya mshindani wako huku ukimsaidia kuponda na kufisha vya kwako
 
Akili za kijinga umejaza kichwani! Kagoda, Meremeta, Dowans, Richmond, Escrow, Mchanga wa Acacia, watumishi hewa, vyeti fake yote hayo ni huyo waziri Mkuu? Mzazi wako ana hasara kuwa na limbukeni kama wewe! Akili za kizero tu ndizo zaweza kuropoka upuuzi kama huu! Kama unaona Kenyatta kaoa Mzee nenda akuoe wewe kijana! Ni bahati mbaya JF haibagui members kwa kuangalia IQ zetu! Wewe ulipaswa uishie kwenye magroup ya WhatsApp pekee huko!
Mdomo mali yake jamani na hakuna kodi y maneno, hilo lilikuwa swali kutoka kwake haina haja ya kumtukana ni kumwelewesha tu na kumuelimisha , jibu lingekuwa inawezekana ikawa ni mvi nyingi tu lakini umri wake ukawa sio mkubwa, kingine sio dhambi kuowa mwanamke anaye kuzidi umri.
 
Usoni hajazeeka mbona nahisi ni asili ya wahindi flani ndio maana nywele zake nyeupe
yeuwiii nimeangaliaa huu wimbo nimecheka mbavu sinaaa

Jovitha mamiro Niko hapa bwanaaa
....hero mbn umekuwa hivi bwana amekuumba ulikuwa na nywele fupi za kuvutia umeenda kuweka hii uwe km mzunguu..... Ulikuwa mweusi wakumetemeta sasa hivi umekuwa kma kitimoto
 
Mdomo mali yake jamani na hakuna kodi y maneno, hilo lilikuwa swali kutoka kwake haina haja ya kumtukana ni kumwelewesha tu na kumuelimisha , jibu lingekuwa inawezekana ikawa ni mvi nyingi tu lakini umri wake ukawa sio mkubwa, kingine sio dhambi kuowa mwanamke anaye kuzidi umri.
Tatizo anakera, amenikera hata mimi jinsi alivyoliweka hilo swali lake, jana nimempa mabango yake amesababisha mpaka Mod amefuta uzi wangu, yaan kwa jinsi alivyouliza kana kwamba anamjua sana Kenyata, ameshindwa hata ku google tu kujua umri wao kitu ambacho kwa mtu kama Kenyata na Mkewe lazima vitakuwepo mtandaoni. Alafu amenikera zaidi alivyouliza kwa jinsi ya kumkashifu huyo Mama kwasababu tu ya Mvi, au umri mkubwa kwani kosa lipo wapi hata kama ingekuwa Kweli amemzidi Kenyata kiumri? Yaan yeye ndo anapangia watu kuoana? Yaan amewakosea heshma hata wazee kwasababu tu wamezeeka na wana mvi, sijui hata kama ana wazazi Huyu!! Apaswi kuwepo JF labda atengeneze group lake la whatsapp wawe wana chati na Wenzake.

Ndomana nilimwambia, Pamoja na kumtaka radhi kwamba, nahisi ubongo wake upo sehemu nyingine, na sio kichwani.
 
Back
Top Bottom