Recent content by mirinda tamu

  1. M

    JamiiForums Tanzania Maoni ya Mzee Mwanakijiji juu ya muungano - kigeugeu ama?

    Hayapa chini ni maoni ya Mzee Mwanakiji kuhusu Uhalali wa Muungano alioutoa 25/4/2010 ila inaonekana mawazo yake yamebadilika kwa sasa....
  2. M

    JamiiForums Tanzania Kasi ya Kinana kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa mwaka 2014

    Hekima na busara zitawale kwa yoyote ambaye atavutiwa kutoa maoni katika waraka huu maalum. Tujibu hoja kwa hoja....tujenge hoja zetu katika misingi ya kuheshimiana bila kumkwaza mtu yoyote.....haya ni mawazo yangu tu kuna ambao watakubaliana na mm na kuna watakaopingana na mm.....nia ni moja...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Reconciliation Accountant - Outsourcing

    Guys am looking for experienced reconciliation...inbox me for more info
  4. M

    JamiiForums Tanzania Azam TV kuonyesha champions league live

    Azam TV kuanza kuonyesha mechi za robo fainali za UEFA champions league from next month...hayo yamethibitishwa na mchambuzi nguli ws soccer hapa bongo kwenye account yake ya Facebook....kwa speed hii naiona Azam TV ikileta mapinduzi
  5. M

    JamiiForums Tanzania Payroll software needed

    Sophisticated but user friendly payroll software is urgently needed for a company with 80+ employees. For serious dealers let us keep in touched Thanks
  6. M

    JamiiForums Tanzania Zipo wapi zile shule zetu za vipaji maalumu?

    Comments kama hizi zinanifanya niendelee kuamini ya kuwa CHADEMA always wako against muslim and Islam....nitawachukia Daima
  7. M

    JamiiForums Tanzania Majina ya wabunge ‘majangili’ siri kubwa Kinana yumo

    Jukwaa la Sisa limevamiwa na wadaku.....hii stori ni ya kutengenezwa maana sioni wapi jina la Kinana limetajwa....watu kama hawa wanageuza JF sehemu ya mipasho
  8. M

    JamiiForums Tanzania Ni nani 'Role Model' wako katika siasa za Tanzania?

    My beloved President Jakaya Mrisho Kikwete
  9. M

    JamiiForums Tanzania HATARI: Hali ya Usalama Dar si nzuri, Kundi la 'Watoto wa Mbwamwitu' lawa tishio Ilala

    Habari nyingine zinasema makundi ya vijana kama hao, yamekuwa tishio kwa uhai wa wananchi maeneo ya Tabata Kisiwani, Mabibo, Kigogo na Ilala Boma. Wakizungumza kwa nyakati tofauti na mwandishi wa gazeti hili, baadhi ya waathirika walisema makundi hayo...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba: CHADEMA itakufa 2015

    Muke Ya Muzungu Mhhhh Nani kaudanganya CHADEMA inashabikiwa na watanzania wote nyambaff!!!!! mbona bungeni muko less than sixty MP's
  11. M

    JamiiForums Tanzania Zitto ashinda pingamizi dhidi ya CHADEMA, sasa Baraza Kuu kuamua uanachama wake

    Hakika Batili Hawezi Kushinda Haki Siku Zote. Mwanasheria na Kijana Machachari Albert Msando ametudhihirishia kuwa Tundu Lissu ni limbukeni na kanjanja wa sheria hapa Tanzania. Good Job Albert Msando U Have Made My Day
  12. M

    JamiiForums Tanzania Nyumba ya kupanga inahitajika

    pozzyfaza soma heading kaka thanks
  13. M

    JamiiForums Tanzania Nyumba ya kupanga inahitajika

    Wadau Nyumba ya kupanga inahitajika ikiwa na vifuatavyo 1. 2 Bed Rooms - One should be master 2. Sitting/Dining Room 3. Bath/Lavatory Room 4. Umeme wa kujitegemea - No sharing Luku 5. Kitchen Preferred Places Kurasini, TCC Changómbe, Temeke Wailes. Budget 200,000 - 250,0000
  14. M

    JamiiForums Tanzania Kinana Mfano wa Kuigwa, awasili Dsm kwa Treni ya TAZARA, Apokelewa kwa Kishindo

    Kinana kimbiza chadema mpaka waseme poooooo
  15. M

    JamiiForums Tanzania Loohh!!!! Huyu binti kwa kweli majanga majanga.

    unaacha Papuchiiii....daaah
Back
Top Bottom