Recent content by miriam 11

  1. miriam 11

    Furniture, painting, office partitions, modern ceiling

    Mungu aibariki Kazi ya mikono yako
  2. miriam 11

    Maeneo yanauzwa

    Sio lazma kuchangia eti
  3. miriam 11

    Maeneo yanauzwa

    Sijakuelewa ndugu
  4. miriam 11

    Maeneo yanauzwa

    Habari za wakati huu wapendwa, poleni na mizunguko. Maeneo yanauzwa huko Lupembe _Njombe Kuna ekari zaidi ya 100 kwa bei rahisi Kwa alie interested ani pm Asanteni
  5. miriam 11

    Anatafuta kazi

    Mimi sina bt naangalia na situations Hapa yeye ana uhitaji zaid yangu
  6. miriam 11

    Anatafuta kazi

    Habari ya wakati huu wanajukwaa Nina kaka yangu (28)anatafuta Kazi Ana diploma ya community development pia kasoma computer Yupo dar es laam Kazi inayoendana na elimu yake pia yoyote itakayopatikana anaweza kufanya ilimradi iwe halali Natanguliza shukran zangu za dhati Kwa mawasiliano zaid...
  7. miriam 11

    Msaada namna ya kuondoa weusi katikati ya mapaja

    Nimenenepa kidogo na hii n kutokana na kutembea
  8. miriam 11

    Msaada namna ya kuondoa weusi katikati ya mapaja

    Habari za wakati huu wanajukwaa naomba kujuzwa namna ya kuondoa huu weusi katikati ya mapaja maana unanikosesha haga Asnteni sana
  9. miriam 11

    I'm really caught-up here

    Yan bia mbili kastua..so akikwambia kanywa anamaanisha ngap? Nne ...tano may be..... Sasa huyo n mwanamke Uzuri unajua kwamba kuna hii shida Taratibu msaidie kuacha kwa maana si sifa nzur sana kwa mwanamke Wanawake tunapaswa kuwa mfano bora Wa kuigwa kwa ndugu,jamaa ,marafiki zaid kwa familia...
  10. miriam 11

    Msaada kuhusu cheti cha kuzaliwa

    Heshima yenu wakuu... Polen na kazi pia samahani kwa usumbufu huu Kwa anaejua taratibu za kupata cheti cha kuzaliwa kwa mtu mzima tafadhali naomba kuelekezwa Asanten
  11. miriam 11

    Msaada kuhusu cheti cha kuzaliwa

    Heshima yenu wakuu... Polen na kazi pia samahani kwa usumbufu huu Kwa anaejua taratibu za kupata cheti cha kuzaliwa kwa mtu mzima tafadhali naomba kuelekezwa Asanten
  12. miriam 11

    Kwanini nyie wanawake mnafunga pm zenu?

    Yangu iko waz ukitaka pic yangu njoo pm ila hizi za humu mmmh! Nyingine feki
Back
Top Bottom