Recent content by mirandaj

  1. M

    JamiiForums Tanzania Yericko Nyerere afikishwa kizimbani akikabiliwa na mashtaka ya makosa ya kimtandao

    Nyi lalamikeni ila hamumsaidii kitu apo weng kwanza mnaongozwa na mahaba ya uchama
  2. M

    JamiiForums Tanzania Msaada

    Naomba mwenye namba ya mtu anayefanya nguruko annex tangi bovu anipatie
  3. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta kumbi za sherehe kama Kitchen party, maeneo ya Tegeta

    Asantee sana kiramuu mwezi wa 11 hawakodishi mwezi mzima kwa ajili ya mitihani ya form four
  4. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta kumbi za sherehe kama Kitchen party, maeneo ya Tegeta

    Asante sana..kiramuu november hawakodishi mwezi mzima kwa ajili ya mitihani ya form four
  5. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta kumbi za sherehe kama Kitchen party, maeneo ya Tegeta

    Wapendwa habarini za asubuhi. Naomba msaada kwa yeyote anayefahamu kumbi za sherehe kama Kitchen party maeneo ya Tegeta. Pili naomba sana mtu yeyote anayefahamu kumbi za harusi ambazo mtu utajitegemea vitu kama chakula na vinywaji . Nitafurahi kama nitapata na mawasiliano yao, naomba hizo...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Mange Kimambi na wadada wa mjini ni shida

    Mama sembe anayemsema ndio yupi?
  7. M

    JamiiForums Tanzania Mange Kimambi na wadada wa mjini ni shida

    Hivi mama sembe anayemsema ndo nani natamani kumjua jaman
  8. M

    JamiiForums Tanzania Ajira mpya za Walimu wa Sekondari zasitishwa kwa muda ili kurekebishwa

    Na hap waliopangwa wamepangwa sekondar au?
  9. M

    JamiiForums Tanzania Katika wale Majambazi waliodakwa, mmoja katoka kuvisha Pete ya uchumba

    Jaman ndoa bado kavalishwa pete tar 11-4 apa juzu na uyo dada nackia ni polisi na kasoma magogon
  10. M

    JamiiForums Tanzania Madanguro yashamiri Dar, sheria iko kimya

    Hivi kweli umu kuna viazi wengi fikiria kabla ya kuposti sio lazima awe mteja ndo aposti umefikiria kweli kama ungekua mkazi wa pale na una watoto wakike tupu wanasoma shule za msingi au ata sekondari na njia yao ni pale au hata hawa vijana wetu wa kiume wakipita pale na kuona watu wapo nusu...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Wasanii wengi kushabikia CCM,inaashiria nini?

    Umenena vyema usanii wao hauwazuii wao kufanya wanachopenda wangekua upinzani nina uhakika usingesema kitu ila kwa vile ni ccm basi wanaonekana wamepotea waacheni
  12. M

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli James Mbatia ana Uzalendo au ni kutaka kuonekana tu?

    Hamna elimu bure apa elimu ya shule ya msingi si inatolewa bure ila michango iliyopo bora wangesema tu sio bure mwanangu kuandikishwa tu la kwanza elfu kumi ya jengo kila siku shule lazma aende na mia mbili ya uji na mia mbili ya shirikishi bado mwisho wa mwezi kuna hela ya mlinzi na maji na...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Elimu yetu hii sijui tutafika?

    Kuna kitu kinanishangaza mimi kama mimi na kunisimitisha sana ni wapi tunaelekea,hivi inakuaje watu humu mnaposti (kutuma) maswala ya kusoma na kazi mfano mtu anauliza hivi uhandisi na udaktari ni upi unalipa zaidi wewe wakati unakua ulikua na malengo gani? Unadhani kwa mawazo yako hayo...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Kiwanda cha Twiga Cement chafungwa kwa muda usiojulikana

    Kwa kumwaga mvua ndio kabisa hao inaeza ikanyesha mvua kidogo sana halafu wao wanaachia mashimo yao maji mpaka mafuriko mafuriko ya boko yanasababishwa ba kiwanda kwa asilimia 80
Back
Top Bottom