kui
JF-Expert Member
- Mar 2, 2009
- 6,467
- 6,494
Hujaona hata robo ya maisha ya Watanzania wa kawaida vijijini, usiambiwe, unashangaa hii. Wa mijini umeme wa mgao, maji yakikatika, foleni za magari, nakadhalika ni issue, wa vijijini haielezeki. Wahenga walisema tembea uone sisi hatutembei, Tukienda Kempiski, Ngurudoto na lodge ya Arusha ya US $ 3000 hoooo Tanzania Tambarare, nani kasema????
True, true, my brother. Inashangaza, up to this day hali ni hii.