Natafuta kumbi za sherehe kama Kitchen party, maeneo ya Tegeta

Natafuta kumbi za sherehe kama Kitchen party, maeneo ya Tegeta

mirandaj

Member
Joined
Feb 1, 2015
Posts
16
Reaction score
5
Wapendwa habarini za asubuhi.

Naomba msaada kwa yeyote anayefahamu kumbi za sherehe kama Kitchen party maeneo ya Tegeta.

Pili naomba sana mtu yeyote anayefahamu kumbi za harusi ambazo mtu utajitegemea vitu kama chakula na vinywaji .

Nitafurahi kama nitapata na mawasiliano yao, naomba hizo kumbi ziwe maeneo ya Mbezi beach, Kawe, Mikocheni,na Mwenge.

Natanguliza shukrani zangu za dhati.
 
Asante sana..kiramuu november hawakodishi mwezi mzima kwa ajili ya mitihani ya form four
 
Kuna ukumbi unaitwa shunu tegeta uwanja wa panga, ama home boyz karibu na kanisa la lutheran tegeta wazo
 
nenda kiramuu hall
order yà chakula na vinywaji nitafute hutakaa na kila Mtu lazima asimulie.nimepika mpka kwa shemeji yake na lowasa

Asantee sana kiramuu mwezi wa 11 hawakodishi mwezi mzima kwa ajili ya mitihani ya form four
 
Back
Top Bottom