Madanguro yashamiri Dar, sheria iko kimya

Madanguro yashamiri Dar, sheria iko kimya

Jamani hali ni mbaya hapa dar kama vile buguruni maeneo ya kimboka, kituo cha muhimbili n.k. hivi police hawaoni
 
Kila mtu na kazi yake waache wapiga kura wajitafutie ili October kieleweke
 
Kazi za polis nu kukimbizan na wauz uchi????!!!!wateja wao ni akin nan!!??tunaskia wanaend huko watu na v8 ni akina nan hao????
 
Jamani hali ni mbaya hapa dar kama vile buguruni maeneo ya kimboka, kituo cha muhimbili n.k. hivi police hawaoni

Halafu Polisi buguruni ni mita chache kutoka maeneo hayo,wanachukua posho mambo yanasonga.........
 
sasa polis kazi yao ni kudeal na malaya? bunduk za nini sasa. watanzania kuna mambo ya msingi kujadili lakin sio hili,albino wanakufa we unaona malaya
 
Watafutie njia mbadala ya kujikimu uone kama watafanya hiyo biashara-wengi ni ulazima unawafanya wawe hivyo,
 
Nimranza kufanya uchunguzi, kilichonishangaza ni kuwa gari nyingi ninazozikuta huko ni zinazoanzia na namba zilizotolewa karibuni, namba zinazoanzia T...D...
 
Acha kutuchafulia chakula chetu ww uliza kuhusu albino lkn c hawa tunaokubaliana nao nimeiona post hii wakat ndio nachukua mzigo hapa
 
Hivi kweli umu kuna viazi wengi fikiria kabla ya kuposti sio lazima awe mteja ndo aposti umefikiria kweli kama ungekua mkazi wa pale na una watoto wakike tupu wanasoma shule za msingi au ata sekondari na njia yao ni pale

au hata hawa vijana wetu wa kiume wakipita pale na kuona watu wapo nusu uchi unadhani nini kinafuata kama sio kubalehe mapema na kuanza nao hao wanaojiuza umewahi kuona jamii znazoishi maeneo yao kwakweli ifike wakati tupaze sauti moja wakajiuze huko maporini mtaani wanatuharibia watoto
 
Hao wapo "world wide" ww mtoa mada unaishi dunia gani???
 
Back
Top Bottom