Recent content by mipango k

  1. M

    JamiiForums Tanzania Utaratibu wa kuhama kwa mtumishi wa Serikali

    Naomba kukuuliza mtoa mada kama ulipitisha barua yako ya kuomba kazi nyingine kwa mwaajili wako ama ulituma maombi bila barua yako kupitishwa na mwaajili? Maana huwa naona katika matangazo ya kazi ya utumishi lazima barua ipite kwa mwaajili kwanza. Ufafanuzi tafadhali kwa anaejua pia
  2. M

    JamiiForums Tanzania Startimes Tanzania: Support thread (maswali, maoni na ushauri)

    Naomba ufafanuzi kwa mtu anae ishi maeneo ya tukuyu-mbeya je king'amzi kinaonesha vizuri maana naona huku mabonde mengi sana?
  3. M

    JamiiForums Tanzania Startimes Tanzania: Support thread (maswali, maoni na ushauri)

    Naomba ufafanuzi kwa mtu anae ishi maeneo ya tukuyu-mbeya je king'amzi kinaonesha vizuri maana naona huku mabonde mengi sana?
  4. M

    JamiiForums Tanzania Mikoa tajiri Tanzania kwa mujibu wa BOT

    Shinyanga mbona watu wake kimaisha na mkoa kimaendeleo hairithishi, kuna haja kuangalia economy distribution yetu.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Wapi nitapata darasa la jioni kwa kozi ya LLB hapa dar

    hilo la wizi wa mitihani tumaini lina ukwel kiasi gani?,ni kwa kozi zote ama llb tu?
  6. M

    JamiiForums Tanzania Magazeti ya Mtanzania na Mwananchi yafungiwa na Serikali!

    usafi wa gvt unategemea mema kwa jamii na sio kuziba mabaya kwa pazia jeusi,raia tunaona kichoendeleanchini,wajipange
  7. M

    JamiiForums Tanzania Domain registration and web hosting

    Kama upo dar nenda ucc chuo kikuu mlimani domain reg 25000\year na webhosting utapata taarifa huko.
  8. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA inajitengenezea matukio ili kujitangaza kisiasa.

    Mtoa mada yupo sahihi,vyama vingi hujitutumia pale jambo linapotoke ndio kelele yanapoanza.tuelezieni sera zenu ni nini!
  9. M

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Pinda ashtakiwa mahakamani

    Naomba hao mawakili pia wawe wazalendo ili kuhakikisha pinda anachkuliwa hatua za kisheria.amechoka yeye,wananchi bado.
  10. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA: Hatutashiriki Kongamano la Amani la TCD, limefadhiliwa na CCM!

    Ndio hamutaki kushiriki,tuambieni amani itapatikanaaje?siamini ktk maisha yangu mwanasiasa ana umuhimu wowote.nastrugle
  11. M

    JamiiForums Tanzania Nisaidieni hii ni bahati na sibu kweli au utapeli?

    Ww hizo umezitolea jasho gani? kuwa makini.
  12. M

    JamiiForums Tanzania Rai Yangu kwa Mh. Pinda na Rais Kikwete, Tunaomba Busara Zenu !

    Tatizo ni uongozi wa juu,baraka zote zinatoko huko unakaona ndio suluhisho kumbe ndio majanga tupu,hamna uajibikaji.
  13. M

    JamiiForums Tanzania Uongozi wa JK wamwaga askari mvua mjini Mtwara, fukuto la sakata la Gesi.

    Wakati mwingine huwa nalaumu wasomi wa nchi hii,taasisi na idara zote juu hadi chini za nchi hivi wataalamu kazi zao nn?
  14. M

    JamiiForums Tanzania Kala Pina na Fid Q Nani Zaidi

    F_Q,safi sana,nyimbo zake zina funzo
Back
Top Bottom