Ulipwaji/upataji wa gawiwo la 80:20 bado haujaeleweka kwa wananchi. Kimsingi katika mradi huu wa Mchuchuma na Liganga wa makaa ya mawe na chuma ambao tumeambiwa Serikali kupitia NDC itakuwa na hisa 20% ni suala ambalo litaitafuna nchi. Tafsiri ya 20% itaanza kuwa realised na serikali kupata...
Hongera sana kwa kupata ajira. Angalizo, nenda ukawajibike kijana, litumikie taifa lako kwa uaminifu na uadilifu mkubwa. Taifa hili limegeuzwa shamba la mavuno kwa kujichotea fedha kiwiziwizi especially kupitia haya mashirika ya umma. Natuma hautokuwa mmoja wao hao wanaolihujumu taifa kwa...
STAMICO mbona kimya? Nafasi za kazi zilitangazwa October 2013 wakitafuta wafanyakazi 78, usahili ukafanyika mwanzoni mwa december 2013. Mpaka sasa bado hawajatoa majibu!
JF jungu kuu halikosi jambo. Nauliza kulikoni STAMICO? mbona kimya wakati vijana waliahidiwa matokeo ya usahili yangetoka...
Hizo Manager's level zilikuwa re-advertised na mchakato wao wa usahili utafanyika next week! Kumbuka awali zilitangazwa lakini walioomba inaonyesha hawakukidhi vigezo hivyo hizo positions zilitangazwa tena na bado watu hawajaitwa kwa usahili (manager's level and above[directors]). Kumbuka...
Mtoa taarifa ulikuwa bado haujajipanga. Chanzo chako cha habari kimekupotosha matokeo yake umewapotosha wengi. STAMICO bado hawajaita, lile ni shirika la serikali, waliofaulu usahili watataarifiwa officially katika njia zisizo na uficho. tembelea web yao upate taarifa kama ikiwekwa watu watafahamu.
Njaa itakuuwa ndugu yangu! acha woga wa maisha! Hata kama unajipendekeza kwenye lichama lako jipya basi tumia welevu kidogo wa akilizako otherwise hata huko unapoenda wanakushangaa sana kwa kuonyesha upumbavu wako mapema hivyo! Anyway acha nafsi yako ifarijike na unafki wako!
Nipo rum namcklza mh. Waziri mama kombani! Najihisi kupasua tv yangu kwa nyundo! Hakika nia ya serikali ya kuandaa katiba ya watz haipo! Hakika patachimbika! Nahs u-alshabaab unainyemelea bongo my country!
My worry! Siku moja tutaua makusudi raia wa tanzania kwenye mikutano hii kwa kuwasingizia al shabaab ili tupate sababu nyepesi ya kuzuia wananchi kuhuzuria mikutano inayoitishwa na CDM. Ole wake yule atakayeinua silaha na kutoa roho ya mtanzania ktk mikutano ya kiharakati!
Jana wamerusha kijimeseji cha kujikomba kwenye simu zetu eti MUHIMU, MCHANA KUTWA, USIKU KUCHA MASAA 20, UNAONGEA KWA SH.1/SEKUNDE 1, NA KILA BAADA YA DK3 KUANZIA SAA4 USIKU MPAKA SAA1 ASUBUHI UNAONGEA BURE. Mwanaume nikajitosa mida ya saa 11jioni nikaweka sh. 1,000/= nikijua nitaongea si chini...
Wapi mama Mrisho!!!!
I remember those days! nyangara kwa sana!!! especially maji yakikatika kwani vijana tulikuwa tunajimwaga TUKUTUKU tukijimix na warsaw!!
Tunahitaji list kamili yenye majina halisia ili tuweze kujua Tabora School kama Kichwa cha Tanzania tunaisaidiaje nchi yetu kimaendeleo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.