Masoud Kipanya na Chadema Kumbe ni Damudamu?

Angalia hiyo jezi na alama ya vidole kaka! Hiyo ni Chadema style!
 
Watu wenye akili uchagua kilicho chema! bila shaka kipanya alishabaini chema sasa katanguliza gwanda baadaye kadi ya uanachama!
Congrats MK
 
Yes kaka inawezekana kwa sababu hata cartoon zake zinajieleza, zinaonekana kutetea sana wanyonge na kuwaponda wafujaji wa mali za umma. Hiii inawezekana kabisa kaka, unajua chadema si chama ni jamii inayotetea kundi dogo lisitumie madaraka vibaya ba kunyonya maslahi ya wavuja jasho.
 
Tumia akili hapo.. kanyoosha kidole kimoja alama ya chadema ni vidole viwili. Alaf gwanda la chadema halijakaa hivo ndugu
 
Kipanya jitokeze umalize ubishi,je ni kweli wewe ni mfuasi wa CDM au Magamba?
 
Hivi tunajadili nini hapa?
Tukutane fb, naona kama hii kitu hapa si mahali pake vile!
 
Aaaagh...Grrrrrrrrrrrr, Hii sasa kashfa yaani munamgombea mwana......e mwenzenu hadharani?
Haya ndiyo madhara ya kujadili watu.
I trust You people can do better than that..
 
Back
Top Bottom