Waboyzia: Waliosoma Tabora boys tangazo maalum

<br />
<br />
Magwanda ful ukamanda...tuliwapotezea mkaishia kwa masecretary Uhazili..warsaw walikuwa monopoly yetu wataaluma..

Aaah wapi Warsaw walikuwa wanawaogopa hamkuwa social kabisa, madisko ya pale warsaw mnaiba maharage jikoni kwao, sijui kama hadi huku uraiani mnaendeleza tabia zenu za u antisocial
 
tabora.jpg

Mnapakumbuka hapa??
 
Aaah wapi Warsaw walikuwa wanawaogopa hamkuwa social kabisa, madisko ya pale warsaw mnaiba maharage jikoni kwao, sijui kama hadi huku uraiani mnaendeleza tabia zenu za u antisocial
Duh mkuu ustaarabu gani huu waku-gate crash post ya mwenzako?, Si na wewe ungeanzisha ya Mirambo..,
Sasa kwa tabia hii nani ameonyesha kwamba sio social na ustaarabu umemshinda
 
nimekumbuka kwata la pale vibaya mno. Enz za kwenda tukutuku kuchota maji.. Kubundi mpaka asubuh. Waow, Tabora school
 
Wapi mama Mrisho!!!!

I remember those days! nyangara kwa sana!!! especially maji yakikatika kwani vijana tulikuwa tunajimwaga TUKUTUKU tukijimix na warsaw!!

Tunahitaji list kamili yenye majina halisia ili tuweze kujua Tabora School kama Kichwa cha Tanzania tunaisaidiaje nchi yetu kimaendeleo! Please who ever remember any one in the system atujuvye hapa kwenye jamvi!!!

Nimem_miss mwalimu Mwombeki mtaalamu wa Physics, japo alitufundisha topic moja tu ya Mechanics, A _LEVEL out of six topics! but at the end of the day tuliweza kudhihirisha kwamba sisi ni Kichwa cha Tanzania! (A_LEVEL CLASS, 1999-2001).

Hongera kwa muanzisha Hoja!
 
i think waboyzia tuna spirit na uzalendo mkubwa na shule yetu...we share the same feelings hata kama tumesoma pale miaka tofauti....long live Tabora School..Kichwa cha tz..
Mkwawa Domitory..University chemba..
boiz.jpg
 
Mashemejiiiiii!!!!!!
Milambo Wanaume tunawasalimu, tunaendelea vizuri na dada zenu Warsaw!
 
Jamani ongezeeni hii orodha ya Wana TS ambao ni member wa JF (Snake House) na mwaka wliodumu pale viwanja vya kwata(Hockey pitch)

1.Kimatire 1979-1985 under Ndeki Admn
2.Ukwelikitugani
3.Watarime
4.Kifulambute
5.Nduka
6.Mwanzuoni
7.Matata
8.RedDevil
9.Rejeo
10.Ngurati
11.Mbasujohn
12.Ngaliba Dume
13Voice of Reason
14.Hamid Shaban
15.Karnoon
16.Baba Imani
17.Tunazimika
18.Rogi
19.Chona
20.Misuke
21.Kinyamana...................................Ongezea orodha hii
22.Skills4ever
 
Jamani ongezeeni hii orodha ya Wana TS ambao ni member wa JF (Snake House) na mwaka wliodumu pale viwanja vya kwata(Hockey pitch)

1.Kimatire 1979-1985 under Ndeki Admn
2.Ukwelikitugani
3.Watarime
4.Kifulambute
5.Nduka
6.Mwanzuoni
7.Matata
8.RedDevil
9.Rejeo
10.Ngurati
11.Mbasujohn
12.Ngaliba Dume
13Voice of Reason
14.Hamid Shaban
15.Karnoon
16.Baba Imani
17.Tunazimika
18.Rogi
19.Chona
20.Misuke
21.Kinyamana...................................Ongezea orodha hii

23. Sokwe wa Town
 
MIMI NILIKUWEPO HAPO KIPINDI CHA DAUD ABDALA ,shule hii bora waboysia mwaka huu imeshuka
 
Mkuu waboizia huwa hawasahau
Kwa kukusaidia hilo li song linaenda hivi

1.Tabora school kishwa cha Tanzania
Jinalo weee, pote linatajikaa
Hapa alisomeshwa, baba yetu wataifa.
Tabora school, Kichwa cha tanzania

2.Tabora school, daima ukumbukwe
Viongozi wafurahishwa nawee
........ AND so on and so on

Kitambo sana wazee. Kikao kitakuwa wapi? Lipumba, Kapuya, Sitta, Makongoro Nyerere watakuwepo.
Nasikia Mwl Madafu alifariki?, Wapii Masele, Mrisho, Madafu,Shendu, Maduka, Kalunguyeye, Kajuna, Mwombeki, Nyanda, Limbe na wengine wengi
Kit
mmenikumbusha mbali kwelikweli namkumbuka mwl wangu wa jiografia mwl Kaswa.
mwl mkumba a.k.a mr D na mwl robert a.k.a roho badi na mwl Madafu walikuwa wanapiga fimbo balaa.afande chacha sijui yuko wapi cku hizi.Warambo msihofu siku tukifanya sherehe ya wa boyzia tutawaarika ule umahasimu wetu si ulishaisha.headmaster Mrisho uliko ubarikiwe ulikuwa na hekima sana
 
Dont forget afande Peter. Mi nilipitia pale 1995 -1997,kwa kuona drill nilivyoreport form five nikazuga nimevunjika mbavu. Baada ya stick za afande chacha ati siwezi kuwaenjoy tu uwanjani, next day nikajoin and i enjoyed the kwata.Nilikuwa na jamaa naye alizuga ana kifafa, naye alijoin kwta successfully. Afande Peter:"Comeon, usiue section, nitakulima ziro- unaona unaaproach barabara na husimamishi section kuangalia usalama barabarani-by the time unashtuka already tayari umeshaua section", I was a section commander nikasahau kuvuka barabara inabidi kusimamisha kikosi na kuangalia usalama wa barabara-during battle drill exercices
Matata umenichekesha na kunikumbusha mbali sana hasa kuhusu Ssgt Peter, alikuwa akiongea maneno mawili anaingiza na kiingereza ndani yake kujifanya msomi. Halafu alikuwa na novel muda mwingi akisoma na ndo alikuwa akipata misamiati anakuja kuchimbia mkwara kwa wanafunzi wakati wa Parade. Lakini pia naona hamjamtaja Sisalile. Nazikumbuka fimbo za madafu hasa mkikutana mjini au Ng'ambo ukimkacha atakutafuta then anakuchapa master parade. Kweli tumetoka mbali jamani, tuna haki ya kujipongeza. Long live Tabora Boys
 
Back
Top Bottom