Recent content by Mina_n

  1. M

    Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

    Mkuu mm niliwahi kufanya shindano la DSE nikiwa chuoni tulikua tuna uza share online... Nimesoma finance, nimekuelewa naomba utakapo anza training unishtue nipo UDBS...
  2. M

    RFA kifuteni kipindi cha magazeti asubuhi

    Kiukweli mm nimekua naisikiliza RFA toka enzi hizo hamna fm, ila kwa sasa hawana kipindi chochote kizuri, wameshindwa ku cope na situation ya sasa
  3. M

    RFA kifuteni kipindi cha magazeti asubuhi

    Kama unataka uchambuzi wa magazeti sikilia Efm kwa wale mbao wako Dsm na Mwanza.. Yupo Hando na kitenge maulid naona wenyewe bado wanachambua
  4. M

    Mfanya kazi wa ndani (kulea mtoto)

    Asanten sana wote mlio comment, nime mpata, nimefanya nae interview, sasa nime mpa brobation... Nashukuru kwa ushauri wenu pia.
  5. M

    Mfanya kazi wa ndani (kulea mtoto)

    Natafuta mdada/mama wa kulea mtoto mchanga... Awe anajielewa, na umri kuanzia miaka 20+ Ambae hana mtoto anae mlea Mtu mzima atapewa kipaumbele Maeneo ya kazi ni Mbezi beach, kwa zena. Mawasiliano 0767521736. Mshahara ninmaelewano (Mnono)
  6. M

    Mfanya kazi wa ndani (kulea mtoto)

    Natfuta mdada/mama wa kulea mtoto mchanga... Awe anajielewa, na umri kuanzia miaka 20+ Ambae hana mtoto anae mlea Mtu mzima atapewa kipaumbele Maeneo ya kazi ni Mbezi beach, kwa zena. Mawasiliano 0767521736. Mshahara ninmaelewano (Mnono)
  7. M

    Tushee Uzoefu: Mliowahi kuwa na mahusiano na wanawake waliowazidi umri

    Mimi nilimpata mmoja Bagamoyo, nilikua nimeenda kikazi, nikaenjoy nae the whole trip, siku ya mwisho nikachukua simu yake kimya kimya nikafuta contacts zangu kwenye simu yake ili asinitafute.... Kumbe nimeacha msg kwenye sent item, nafika home wife ananipokea, kapeleka maji ya kuoga kqbaki na...
  8. M

    UTAPELI: Kampuni ya D9 (DNINE) ni kina nani? Nani kawapa kibali cha kazi Tanzania?

    Nilishakatazwa kuongea na mtu tukiwa falagha, hua ni hatari sana
  9. M

    INAUZWA Jipatie bidhaa kutoka kwetu kwa bei nafuu, tupo Kariakoo

    Natafuta viti vya saloon, bei zenu zikoje? Niko njiani nakuja kkoo kuvitafuta
Back
Top Bottom