Mfanya kazi wa ndani (kulea mtoto)

Mina_n

Member
May 6, 2017
12
12
Natafuta mdada/mama wa kulea mtoto mchanga...
Awe anajielewa, na umri kuanzia miaka 20+
Ambae hana mtoto anae mlea
Mtu mzima atapewa kipaumbele
Maeneo ya kazi ni Mbezi beach, kwa zena.
Mawasiliano 0767521736.
Mshahara ninmaelewano (Mnono)
 
Natafuta mdada/mama wa kulea mtoto mchanga...
Awe anajielewa, na umri kuanzia miaka 20+
Ambae hana mtoto anae mlea
Mtu mzima atapewa kipaumbele
Maeneo ya kazi ni Mbezi beach, kwa zena.
Mawasiliano 0767521736.
Mshahara ninmaelewano (Mnono)
Utaweza kulipa kiasi gani kwa mwezi....?!!
 
Asanten sana wote mlio comment, nime mpata, nimefanya nae interview, sasa nime mpa brobation...
Nashukuru kwa ushauri wenu pia.
 
Hawa wadada wa nyumbani hawathaminiwi kabisa wanapewa hela kiduchu and yet they are expected kuangalia mtoto/watoto kwa umakini wa hali ya juu. Full disclosure: Mfanyakazi wangu Nampa kima cha mshahara kilichoidhinishwa na serikali (na gharama za matibabu na other costs is on me-including likizo nyumbani kwao mara moja kila mwaka ambayo nalipa gharama mimi)

Mimi nashauri kwetu sote tunaojielewa we should try and professionalize this sector. Kama kima cha chini ni laki moja basi huyu mtu mlipe ujira wake sahihi na wewe u-demand professional delivery kwenye majukumu yake.
Otherwise hizi kesi za kudhuru watoto hazitaisha.

Wewe mtu katoka Iringa or Mwanza (with light touch folks), anakuja mjini unataka kumlipa 40K? Really? Hiyo hela itamsaidia vipi na yeye kutoka kimaisha? Kumlisha si hoja! Unataka awapikie wanao halafu yeye akale wapi?

Cha mwisho, tujitahidi kuwajua vizuri kabla ya kuwaajiri. I mean, tusichukulie kirahisi rahisi tuu. Know her/his background. Jua nyumbani kwao na details muhimu. Imagine leo amefia kwako (God forbid) where do you go? mtu ambaye umempata kwa PM ya Jamii Forum?

In all hawa watu ni wa muhimu sana. Lakini Jamii imewasahau. Ndo maana hata ukienda kwenye sherehe utakuta hata kama mama mwenye mji/mualikwa amependeza namna gani..anaendesha usafiri wa maana......lazima house girl utamjua tuu! (either kavaa nguo ambazo hazimtoshi vizuri-za kupewa mara nyingi, muoga muoga nk). Wakati tajiri yake anang'aa!).

My point is tuwajengee confidence na wajione part of our families. Maana mtu anayeshinda na wanao ni wa kuheshimu sana.
 
House girls wanapatikana
Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by CathLiv, Tuesday at 11:27 AM.

Unwatch Thread
Page 3 of 4
1234
Go to First Unread

  1. CathLiv Member
    #1
    Tuesday at 11:27 AM

    Joined: Mar 11, 2017
    Messages: 63
    Likes Received: 25
    Trophy Points: 15
    Mdada wa kazi
    Punguza majukumu kwa kupata msaidizi wa kazi za ndani kutoka *Rent A Maid Company* MDADA ambaye ana sifa zifuatazo..
    emoji815.png
    Umri miaka 18 na kuendelea. (katiba)
    emoji815.png
    Ana mafunzo ya mapishi bora.
    emoji815.png
    Malezi ya watoto (Umri 0-17)
    emoji815.png
    Anaelimu ya kuwasaidia wanao homeworks
    emoji815.png
    Anayoelimu ya mazingira na utunzaji wa bustani nyumbani.
    Kwa mshahara wa laki moja (Tshs. 100,000)
    Kizuri zaidi ni kwamba unaweza kubadilishiwa endapo hujaridhika na utendaji kazi wake pia mkataba upo ili kulinda uaminifu baina ya mteja na kampuni.

    Karibu tuwasiliane kwa PIGA:0769321005
    AU
    SMS/WhatsApp 0769321005.

    Email:
    auctioneertz@gmail.com au
    ramtz@yahoo.com
    dad39b007e0ad5b73e3536ee1d49bf77.jpg


    Report
    Like - 3 people likes
 
House girls wanapatikana
Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by CathLiv, Tuesday at 11:27 AM.

Unwatch Thread
Page 3 of 4
1234
Go to First Unread

  1. CathLiv Member
    #1
    Tuesday at 11:27 AM

    Joined: Mar 11, 2017
    Messages: 63
    Likes Received: 25
    Trophy Points: 15
    Mdada wa kazi
    Punguza majukumu kwa kupata msaidizi wa kazi za ndani kutoka *Rent A Maid Company* MDADA ambaye ana sifa zifuatazo..
    emoji815.png
    Umri miaka 18 na kuendelea. (katiba)
    emoji815.png
    Ana mafunzo ya mapishi bora.
    emoji815.png
    Malezi ya watoto (Umri 0-17)
    emoji815.png
    Anaelimu ya kuwasaidia wanao homeworks
    emoji815.png
    Anayoelimu ya mazingira na utunzaji wa bustani nyumbani.
    Kwa mshahara wa laki moja (Tshs. 100,000)
    Kizuri zaidi ni kwamba unaweza kubadilishiwa endapo hujaridhika na utendaji kazi wake pia mkataba upo ili kulinda uaminifu baina ya mteja na kampuni.

    Karibu tuwasiliane kwa PIGA:0769321005
    AU
    SMS/WhatsApp 0769321005.

    Email:
    auctioneertz@gmail.com au
    ramtz@yahoo.com
    dad39b007e0ad5b73e3536ee1d49bf77.jpg


    Report
    Like - 3 people likes
Hao wafanyakazi wenu mnawalipa ujira sawa na mnaopokea ninyi toka kwa mwajiri wake? Isije ikawa kama kampuni za ulinzi zinapokea pesa nyingi toka kwa mwajiri ila wao wanamlipa mwajiriwa pesa kiduchu,na zaidi haipatikani kwa wakati.
Kingine au house maids wenu hawana tabia ya kujilengesha kwa baba kwenye nyumba ili wawe "first Lady"?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom