Recent content by Mimtamu

  1. Mimtamu

    Njoo tusimualiane Mambo ya kutisha/kuogopesha uliyowahi kushuhudia hapa Duniani

    Unaweza kuta kuna mkulima alikuona huo muda nae akahadithia ameona jini mwanafunzi usiku wa manane.
  2. Mimtamu

    Hebu mshauri huyu mama

    Kinachonishangaza ni ujasiri wa huyo mama, yaani mpaka kapata muda wa kushirikisha watu? Aisee kwanza siku hiyohiyo ningewapeleka hospitali ili zitolewe kwa utaalam mkubwa sana. Baada ya hapo ndiyo nianze kujiuliza kweli mimi ni mtu wa dini kweli? Ambaye nimeshindwa hata kuwapa wanangu elimu ya...
  3. Mimtamu

    Majarida haya na watunzi wake:wako wapi?

    Mkitupia na picha italeta utamu zaidi
  4. Mimtamu

    Hataki 'doggy style' nifanye nini?

    TIRI...KITI...DAAAAA!!!
  5. Mimtamu

    COVID-19: Magufuli asifiwa duniani; Tanzania imeibuka mshindi kwa kuishinda US kwa kulinganishwa namna walivyoendesha mapambano yao dhidi ya Corona...

    BBC News | Coronavirus: What misinformation has spread in Africa? - No, hot steam is not a cure for coronavirus
  6. Mimtamu

    Binamu alivyonitaka kimapenzi

    Siamini kama kweli ulishawishika. Ila hongera sana maana mmeambiwa kimbieni
  7. Mimtamu

    Msaada: Vyakula vya kutunza wakati wa majanga

    Stay safe, corona ni hatari
  8. Mimtamu

    Msaada: Vyakula vya kutunza wakati wa majanga

    Haswaaaaa hapo umenena kabisa, kipindi hiki tusahau huo upande kabisa. Vile watu wapo majumbani ni rahisi zaidi kufanya ngono zembe. Hasa tuwe makini na vijana wetu.
  9. Mimtamu

    Msaada: Vyakula vya kutunza wakati wa majanga

    Duh umewaza mbali, kunatisha naamini hatutofika huko.
  10. Mimtamu

    JamiiForums Usiku wa manane

    Hahaha.. Maajabu ya pasaka haya
  11. Mimtamu

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    Nipo nyuma yako
  12. Mimtamu

    Msaada: Vyakula vya kutunza wakati wa majanga

    Nimepata darasa hapo kwenye nyanya, niliwaza kuhusu kuharibika. Asante sana shoga. Ila vipi mfano kwa ambao hawana friji au kukitokea changamoto ya umeme
  13. Mimtamu

    Msaada: Vyakula vya kutunza wakati wa majanga

    Swali langu linajikita zaidi kwa siye tulio hali ya kati na chini ambao hatujazoea kuhifadhi vyakula. Kuna wengi hatujui vyakula gani ni muhimu kuhifadhi na visivyoharibika haraka.
  14. Mimtamu

    Msaada: Vyakula vya kutunza wakati wa majanga

    Hahaha naona unataka kuhamisha mada.
  15. Mimtamu

    Msaada: Vyakula vya kutunza wakati wa majanga

    Salama kabisa, karibu nahitaji maoni plz
Back
Top Bottom