Recent content by Mimson

  1. Mimson

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Uwekezaji wa NSSF wa Dege Eco Village(Kigamboni) haufai

    Kwa jinsi Dar ilivo over populated Dege Eco Village ingekua ni moja ya solution ya makazi. Kwa mwenye maono mazuri na serikali kiujumla wawekeze kwenye mradi huo ni mzuri kwa ajili ya maisha ya baadae ya Dar haijalishi serikali imehama au la.
  2. Mimson

    JamiiForums Tanzania Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

    [emoji1] [emoji1] shukrani mkuu kwa ushauri wako pia
  3. Mimson

    JamiiForums Tanzania Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

    Mwenye uelewa na haya maswala ya Forex, unakaribishwa kuchangia tafadhali. [emoji4]
  4. Mimson

    JamiiForums Tanzania Mnazionaje huduma za Azam tv?

    Bei yake Tsh. Ngapi
  5. Mimson

    JamiiForums Tanzania Ndoa ya kwanza kati ya Mbwa na Mwanadamu yafungwa jimboni California nchini Marekani!

    Yaani wazungu wanatafuta sifa mpaka pale ambapo hazikustahili...alafu eti father anafuraha kisa kuingia katika historia....ama kweli Mungu atusaidie sana maana ni siku za mwisho na huyu father ni mjumbe wa shetan..na sheria ilkuwepo toka mwaka 1800's
  6. Mimson

    JamiiForums Tanzania Diva, B12, na Mchomvu wapigwa chini Clouds

    Ndo maana siwa skii duh! na Fetty je yuko wap
  7. Mimson

    JamiiForums Tanzania Mlipuko tena Arusha, jeshi la Polisi watuhumiwa

    Majanga tena ndani ya A town yanataka kuibuka?
  8. Mimson

    JamiiForums Tanzania Watanzania wawili wakamatwa na maiti iliyofichwa dawa za kulevya

    What a hell?
Back
Top Bottom