Ikulu: Rais Magufuli awaapisha Wakuu wa Mikoa na Makatibu Tawala, awaasa wakatende haki na kutatua migogoro

Mimi naona kama mkulu ameutangazia umma wazi kwamba PM ndie raisi was dar/ndo kila kitu,na kwa ma rc wengine pia.. Kwaiyo amezihuisha nguvu zao na watu wajue kabisa RC anazamia kitengo chochote kwenye eneo lake la utawala!
 
Rais John Pombe Magufuli amesema yeye kuchaguliwa kuwa Rais siyo kwa kuwa yeye ni mzuri sana kuliko Watanzania wote bali ni Mungu ndiye aliyeamua. Hivyo akawaasa Viongozi hao kuwa katika nafasi zao, ni Mungu ndiye aliyeamua kuwapa nafasi zao ili kuwatumikia Watanzania.
Mungu hapendi wizi, nyie mnajua wazi kabisa kura hazikutosha akaingia kwa kura za wizi! Leo mnasema Maamuzi ya Mungu? ina maana Mungu anasupport wizi wa kura? Acha utani basi! Sema nguvu za shetani ndio ziliamua awe raisi!
 
Mungu hapendi wizi, nyie mnajua wazi kabisa kura hazikutosha akaingia kwa kura za wizi! Leo mnasema Maamuzi ya Mungu? ina maana Mungu anasupport wizi wa kura? Acha utani basi! Sema nguvu za shetani ndio ziliamua awe raisi!

Tuonyeshe proof yoyote ya kwamba kura hazikutosha au jifungie tu mdomo wako.
 
Dodoma kuongoza kimapato lazima ushtuke hata kama siyo mtu wa uchumi.Vyanzo vya mapato mbona havieleweki au takwimu za kutengeneza.
Ni za kutengeneza ndio, ili ku justfy Dodoma kuwa jiji, na fungu toka serikali kuu lielekezwe huko kwa wingi!
 
Waziri mkuu hata sijui nlimchaguaje, wapo watu walioenda Dodoma wakiwa wamevaa na suti wakijua wanakuwa mawaziri wakuu. Na sio kwamba Waziri Majaliwa anafaa sana bali Mungu ndo aliamua na vivo hivyo katika nafasi zenu, Uwe mkuu wa mkoa, jeshi, Magereza. Nafasi hizi zimepangwa na Mungu alitaka tuzipate. Tukijua hilo, tutafanya mema sana. Usipojua hilo, hutatenda haki kwa wale unao waongoza.
Na wasiojulikana walichaguliwa na Shetani?
 
JPM need Bashite and his brand and behaviour more now than ever before.He has hurt the main stream politicians in his partynow he must use "ukolomije" style to bounce back to power come 2020
 
Back
Top Bottom