Uswahilini kuna mambo mengi, nilichaniwa dirisha nikaibiwa simu zangu... Lakin kwa hili la leo sihami kamwee!!
Leo mida ya saa 4 usiku nikiwa narudi zangu magheton, nimekutana na ugomvi wa vijana wawil wakimshambulia kijana mwenzao mmoja, huku wakiwa wamezungukwa na vijana wengi wa kiume...