Hawa Machizi "WANADATE" Roma na Stamina wanaounda kundi la ROSTAM ..

Hawa Machizi "WANADATE" Roma na Stamina wanaounda kundi la ROSTAM ..

MimiJoel

Member
Joined
Sep 22, 2017
Posts
42
Reaction score
46
Wanahiphop maarufu nchini Tanzania, Roma na Stamina wanaounda kundi la ROSTAM. Ikiwa na maana ROma na STAMina, mapema leo waliuLIzwa na Perfect crispin kupitia 255 ya XXL inayorushwa na kituo cha Clouds fm, Kuwa ni kitu gani kinachoweza kupelekea kundi lao la ROSTAM linalofanya poa hivi sasa kwenye majukwaa mbalimbali ya Fiesta kuvunjika?

Kutokana na makundi mengi kuvunjika kutokana na pesa au wanawake, Roma akajibu kuwa "Wao kama Rostam, kuna masharti na kanuni walizojiwekea. Moja wapo ni kutokana na Roma tayar anamke na stamina pia yupo mbioni kuoa, ivoo wamekubaliana hata wapige show marekani hakuna mtu kati yao kung'oa (kuondoka na mwanamke eneo lile la show).

Hii imepelekea kuifanya Rostam kufanya vizuri na kuongeza ubunifu kwenye majukwaa ya Fiesta yanayoendelea hivi sasa.. Roma akasisitiza tena kwa kusema yeye na stamina ni kama WANADATE mana Roma hawez kukubali kumuona Stamina kang'oa Demu wala Stamina hawezi kukubali kumuona Roma kang'oa Demu.. akatolea mfano show ya kwanza ya Fiesta iliyofanyika ARUSHA, Roma aliona wanawake wanamnyemelea Stamina. Ikambid Roma kuingia Room kwa Stamina na kuwatimua wale wanawake wote kabla Stamina Hajafanya LOLOTE..

Hivyohivyo show zilizofata, Stamina naye akahisi Roma anataka Kung'oang'oa ivii ikambidi Stamina akalale Chumba cha Roma...

Hawa ndio ROSTAM...
 
Hiyo tabia ya kuharibiana ndo itapelekea kundi kuvunjika.
 
bromance ni u.cho.ko tu.hawa wazungu wanatuletea upuuz wao hapa kibwegebwege pungaz zinaongezeka...shwain!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom