Nimejaribu kufikiria kwa kina nimeshindwa kupata jibu sahihi. Zaidi ya milioni ya watumiaji wa mitandao tanzania kote wamekumbwa na wimbi kubwa la meseji za kutaka kutumiwa fedha kwenda kwenye namba fulani.
Bila shaka watumaji wametajirika hasa baadhi ya ndugu zetu kutuma hela bila...
Ingiza imei kwenye imei.info itakupa taarifa zote za simu yako. Kama haziendani na simu yako basi jua tayari una clone.
Pia angalia kama inakubali icloud. Kama ni feki haitakubali.
Serikali imeanza ukaguzi wa wananchi wote wanaotoa huduma za maji. Hairuhusiwi kusambaza maji kwa wananchi kama haujasajiliwa na mamlaka za maji safi na maji taka.
Pili lazima maji yako yapimwe na kuthibitishwa na mamlaka za maji safi na taka.
Tafadhali kaa kimya na uuze maji yako
Kama kweli ni ya kwako basi angalia basi nenda kwenye icloud.com nenda then click sehemu ya foeget you password. Watakuuliza maswali ya mwanzo halafu watakupa sehemu ya kureset.
Ila kama simu sio yako ni ya wizi naomba niseme hakuna njia yeyote hapo. Cha msingi hiyo simu uza kama spare parts...
Kama huna iphone au samsung wewe huna simu. Ila una kifaa cha mawasiliano. Simu za tecno zina soko kwenye nchi za afrika kwa sababu ya unafuu wa bei yake na aina ya watumiaji wake. Ndio manaa zinauzwa kama njugu. Watu husema cheap is expensive amini. Kama unahitaji simu ya kukaa nayo muda mrefu...
This topic is masterminded in ironic way. Mtoa mada katoa mada nzuri sana. Lakini shida ni kwamba wapinzani wamesababisha watu wasielewe mada. Hongera muanzisha uzi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.