My Son drink water
JF-Expert Member
- Nov 30, 2016
- 4,932
- 13,283
Wapinzani ni watu hatari mno kwa maendeleo ya taifa letu Tanzania.
Ndo maana tumeamua kuwapiga Vita kwa nguvu zetu zote.
Nyie mtakuwa mnawafukuza huko bungeni ambako wana immunity ya kubwabwaja hovyo ila wakija huku nje tunawadaka na kuwashughulikia ipasavyo.
Bila upinzani hata ACACIA wasingefunga migodi na kuwafanya watanzania zaidi ya 3,000 kuwa ma jobless na kuikosesha serikali kodi ya zaidi ya sh bilioni 18 na kutowesha kwenye mzunguko pesa zaidi ya sh BIL 20 kila mwezi.
Wapinzani kwa wingi wao bungeni waliridhia mikataba mibovu ya madini inayolinyonya taifa.
Ni wapinzani hawa hawa walipitisha mswaada wa hati ya dharura uwe sheria juu ya gesi, gesi ambayo Urusi wanaitumia kama fimbo ya kiuchumi juu ya mahasimu wao ulaya.
Bila upinzani Tanzania ingekuwa na viwanda vingi tu zaidi ya Kenya.
Bila upinzani tungekuwa na Elimu nzuri mno na teknolojia yetu wenyewe.
Bila upinzani tusingekuwa na nyumba za tope na nyasi.
Bila upinzani pesa yetu ingekuwa na thamani kubwa Sana.
Bila upinzani tembo wetu wasingeisha vile.
Bila upinzani Tanzania ingekuwa donor.
Bila upinzani watu wasingepotea na kukatwa mapanga na kuuawa na watu wasiojulikana.
Bila upinzani Ndege yetu isingeshikiliwa Canada.
Kifupi ni kwamba Upinzani ni adui wa maendeleo yetu watanzania.
Nina uhakika kuwa bila upinzani tungekuwa na uchumi mzuri kuliko Japan.
Sheria ipitishwe bungeni kufuta upinzani ili tusonge mbele kimaendeleo.