Msaada, Brela online Business name registration

Mla Bata

JF-Expert Member
Jan 24, 2013
4,761
2,000
Salaam wakuu,

Kama uzi unavyojieleza kwa wenye uzoefu na huu utaratibu mpya wa kusajili kampuni/jina la kampuni, nimefanikiwa kujaza details za mwanzo na kudownload consolidated form ambayo nimeweza kuisign pamoja na kuiscan.

Tatizo linakuja kwenye kuupload hii form kwenye website yao, nimeshindwa kujua ni kwa namna gani naweza kurudi na kui upload hii form.

Kwa mwenye uelewa na uwezo wa kunisaidia kwa hili msaada wa haraka unahitajika.

Natanguliza shukrani zangu.
 
Job K

JF-Expert Member
Oct 4, 2010
9,285
2,000
Salaam Wakuu, kama uzi unavyojieleza kwa wenye uzoefu na huu utaratibu mpya wa kusajili Kampuni/jina la kampuni, nimefanikiwa kujaza details za mwanzo na kudownload consolidated form ambayo nimeweza kuisign pamoja na kuiscan, Tatizo linakuja kwenye kuupload hii form kwenye website yao , nimeshindwa kujua ni kwa namna gani naweza kurudi na kui upload hii form, Kwa mwenye uelewa na uwezo wa kunisaidia kwa hili msaada wa haraka unahitajika.

Natanguliza shukrani zangu.
Log-in kwenye akaunti yako, kuna menu fulani hivi itakuja mkono wako wa kushoto sasa ili kuipata fomu yako uliyokwishajaza chagua kutoka kwenye hiyo menu palipoandikwa "My List". Ukisha-click hapo fomu yako itakuja na mwisho mwa ukurasa wa hiyo fomu litakuja jedwali fulani hivi likionesha hatua uliyofikia katika kujaza hiyo fomu yako, kulia kabisa mwa hilo jedwali kuna neno Edit, click hapo then click palipoandikwa "proceed".
upload_2018-5-12_0-27-24.png

Ukisha-click hapo itakupeleka kwenye ukurasa unaokutaka u-Upload hiyo consolidated business form ambayo tayari utakuwa umei-scan na kui-save kwenye computer au kwenye flash disk. Kwenye jedwali linalokuagiza u-Upload hiyo fomu kuna sehemu pameandikwa "Upload" click hapo patatokea maneno Browse files, then click again hatua hii itakupeleka kwenye orodha ya mafaili ulikohifadhi hiyo fomu yako (the scanned one), ukishaipata click to select the file, then itakuwa attached moja kwa moja (hapa itakuambia kama kweli umsha-upload). Baada ya hapo gonga (click) palipoandikwa "save" hapo juu kabisa ya ukurasa wako wa application form na ukisha-save kazi yako click tena kwenye "Proceed" kuendelea na hatua inayofuata. Nafikri nimejaribu pamoja na kwamba ni usiku huu sasa wacha tuende kwenye majukumu mengine! Mla Bata sijui utakuwa bado unakula bata kweli usiku huu??
 
Red Giant

JF-Expert Member
Mar 9, 2012
12,040
2,000
Log-in kwenye akaunti yako, kuna menu fulani hivi itakuja mkono wako wa kushoto sasa ili kuipata fomu yako uliyokwishajaza chagua kutoka kwenye hiyo menu palipoandikwa "My List". Ukisha-click hapo fomu yako itakuja na mwisho mwa ukurasa wa hiyo fomu litakuja jedwali fulani hivi likionesha hatua uliyofikia katika kujaza hiyo fomu yako, kulia kabisa mwa hilo jedwali kuna neno Edit, click hapo then click palipoandikwa "proceed". View attachment 774407

mkuu kuna hii ishu ya kuwa madirector
wawe na Kitambulisho cha taifa. Hivi haiwezekani kutumia cheti cha kuzaliwa kama mbadala?
 
Job K

JF-Expert Member
Oct 4, 2010
9,285
2,000
mkuu kuna hii ishu ya kuwa madirector
wawe na Kitambulisho cha taifa. Hivi haiwezekani kutumia cheti cha kuzaliwa kama mbadala?
Kwa hili Mkuu sina uhakika! Lakini sehemu vitambulisho vinavyokubalika ni Passport, driving licence na kile cha mpiga kura. Cheti cha kuzaliwa hakimo kwenye orodha ya vitambulisho. Kwa uhakika zaidi wapigie simu BRELA wenyewe watakuelekeza. Hebu Jumatatu jaribu hii namba uulizie hiyo issue 0735 331 001
 
Shukrani mkuu.
 
Watu

JF-Expert Member
May 12, 2008
3,230
2,000
Kwa hili Mkuu sina uhakika! Lakini sehemu vitambulisho vinavyokubalika ni Passport, driving licence na kile cha mpiga kura. Cheti cha kuzaliwa hakimo kwenye orodha ya vitambulisho. Kwa uhakika zaidi wapigie simu BRELA wenyewe watakuelekeza. Hebu Jumatatu jaribu hii namba uulizie hiyo issue 0735 331 001
Niliuliza wakasema bila natiinal id, hufanyi chochote katika mfumo wao, shida ni kwamba wangapi wana hjizo id?.
 
Sauli

JF-Expert Member
Aug 14, 2012
412
1,000
mkuu kuna hii ishu ya kuwa madirector
wawe na Kitambulisho cha taifa. Hivi haiwezekani kutumia cheti cha kuzaliwa kama mbadala?
Lazima, director na secretary wawe na national ID, pia Ma director TIN zao ziwe zimehakikiwa
 
Hunyu

JF-Expert Member
Aug 19, 2014
4,789
2,000
Shida ni kubwa sana kwenye issue ya National Id. Mbaya zaidi wanataka Madirector wote wawe nazo, na kuna kipengere cha lazima tena Secretary nae awe nacho.

Ninmiezi miwili sasa hadi nahisi kukata tamaa kusajili.
 
Red Giant

JF-Expert Member
Mar 9, 2012
12,040
2,000
Niliuliza wakasema bila natiinal id, hufanyi chochote katika mfumo wao, shida ni kwamba wangapi wana hjizo id?.
Hili ni tatizo kubwa. Mbaya zaidi hivyo vitambulisho huchukua hadi miezi minne kuvipata. Huu ni ukwamishaji.
 
Mla Bata

JF-Expert Member
Jan 24, 2013
4,761
2,000
Shukrani sanaaa Boss.
Log-in kwenye akaunti yako, kuna menu fulani hivi itakuja mkono wako wa kushoto sasa ili kuipata fomu yako uliyokwishajaza chagua kutoka kwenye hiyo menu palipoandikwa "My List". Ukisha-click hapo fomu yako itakuja na mwisho mwa ukurasa wa hiyo fomu litakuja jedwali fulani hivi likionesha hatua uliyofikia katika kujaza hiyo fomu yako, kulia kabisa mwa hilo jedwali kuna neno Edit, click hapo then click palipoandikwa "proceed". View attachment 774407
Ukisha-click hapo itakupeleka kwenye ukurasa unaokutaka u-Upload hiyo consolidated business form ambayo tayari utakuwa umei-scan na kui-save kwenye computer au kwenye flash disk. Kwenye jedwali linalokuagiza u-Upload hiyo fomu kuna sehemu pameandikwa "Upload" click hapo patatokea maneno Browse files, then click again hatua hii itakupeleka kwenye orodha ya mafaili ulikohifadhi hiyo fomu yako (the scanned one), ukishaipata click to select the file, then itakuwa attached moja kwa moja (hapa itakuambia kama kweli umsha-upload). Baada ya hapo gonga (click) palipoandikwa "save" hapo juu kabisa ya ukurasa wako wa application form na ukisha-save kazi yako click tena kwenye "Proceed" kuendelea na hatua inayofuata. Nafikri nimejaribu pamoja na kwamba ni usiku huu sasa wacha tuende kwenye majukumu mengine! Mla Bata sijui utakuwa bado unakula bata kweli usiku huu??
Shukrani sanaa mkuu.
 
Hahahah Bata ni unlimited mkuu
 
Mla Bata

JF-Expert Member
Jan 24, 2013
4,761
2,000
mkuu kuna hii ishu ya kuwa madirector
wawe na Kitambulisho cha taifa. Hivi haiwezekani kutumia cheti cha kuzaliwa kama mbadala?
Siku hizi imekuwa ni lazima kutumia kutambulisho cha taifa mkuu, kwa wote kama wamiliki ni zaidi ya mmoja , ila kama umeshajiandikisha na kitambulisho hujapata nenda ofisi ya nida iliyokaribu yako waombe wakupatie japo namba ya kitambulisho tu, hiyo ndiyo utakayotumia kusajiria.
 
dancher

Senior Member
Jul 11, 2015
152
225
Unaweza ukaenda NIDA ukaanza process, kinachohitajika hasa ni ile number ya ID
Tatizo waweza nenda Nida nao wakakupatia namba lakini namba bila kitambulisho si kitu mie nina mwezi na nusu mpk nmekataa tamaa ya kuendelea na usajili wa kampuni kitu hiki kimetudiscourage sana
 
Mla Bata

JF-Expert Member
Jan 24, 2013
4,761
2,000
Tatizo waweza nenda Nida nao wakakupatia namba lakini namba bila kitambulisho si kitu mie nina mwezi na nusu mpk nmekataa tamaa ya kuendelea na usajili wa kampuni kitu hiki kimetudiscourage sana
Mkuu inayohitajika ni namba ya kitambulisho tu aisee, kama umeipata unaweza ukaanza process za kusajiri.
 
dancher

Senior Member
Jul 11, 2015
152
225
Mkuu inayohitajika ni namba ya kitambulisho tu aisee, kama umeipata unaweza ukaanza process za kusajiri.
Namba nimeipata lakini ukiingiza wanakuambia bado haitambuliki na Nida baada ya kufanya nao mawasiliano wakasema namba inatambulika pale tu kitambulisho kinapokuwa printed na Nida
 
Mla Bata

JF-Expert Member
Jan 24, 2013
4,761
2,000
Namba nimeipata lakini ukiingiza wanakuambia bado haitambuliki na Nida baada ya kufanya nao mawasiliano wakasema namba inatambulika pale tu kitambulisho kinapokuwa printed na Nida
Duuuh hilo tatizo mzee, tunarudishana nyuma hivi hivi yani.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom