Recent content by mimi mgeni duniani

  1. M

    JamiiForums Tanzania Namwombea msamaha mheshimiwa Rais kwa Wakristo wote lakini Mungu hadhihakiwi

    Hakika hiyo mifano hai ulioitoa kuhusu watu waliokuwa wakimdhihaki Mungu, ni lazima iwe na mwendelezo kwa watu wa aina hii... Asante sana kwa mifano yako hai...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Orodha ya watu /taasisi/Viongozi wanaotakiwa kulaumiwa kwa kifo cha Aquilina hii hapa

    Rais, mwigulu, NEC, IGP, RPC, mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama wa mkoa na wilaya (RC, DC)
  3. M

    JamiiForums Tanzania RC Makonda asema hajavunja Katiba kuzuia mabaraza ya kata

    Huyo DAB anajua nini kuhusu sheria.... Katika viongozi wasiojua maana ya uongozi, DAB is among of them
  4. M

    JamiiForums Tanzania Dr. Wilbrod Peter Slaa unaendelea kujiaibisha na kujidharaulisha kwa kusema uongo

    Unafiki wa DK slaa upo wazi sana... Uongo wa DK slaa pia upo wazi sana.... Jamani, njaa ni mbaya sana
  5. M

    JamiiForums Tanzania Kulikoni wake za watu wanakuwa maji mara moja?

    Ni kweli kbs, jambo hili lina ukweli kwa asilimia kubwa sana
  6. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Swali kwa Wakenya: Bado mnamhitaji Magufuli awe Rais wenu?

    Yaani ni balaa.....
  7. M

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi: Sheikh Ponda ajisalimishe Polisi ndani ya siku 3, vinginevyo hatokuwa salama

    Ni uchochezi upi uliofanywa na SHEIKH ponda???? Uliisikiliza speech ya SHEIKH ponda [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
  8. M

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi: Sheikh Ponda ajisalimishe Polisi ndani ya siku 3, vinginevyo hatokuwa salama

    Mbn hii nchi inaendeshwa kibabe jamani.... Mbn sijackia kauli yoyote inayofanana na huo uchochezi jamani.... Shame on them [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
  9. M

    JamiiForums Tanzania Jerry Muro kufanya mkutano na waandishi wa habari Leo saa sita kuwajibu CHADEMA

    Tuhuma za press conference ya jana ya chadema iliilenga serikali ya ccm na sio mtu binafsi
  10. M

    JamiiForums Tanzania Jerry Muro kufanya mkutano na waandishi wa habari Leo saa sita kuwajibu CHADEMA

    Kwenye taarifa yake amesema kuwa anataka kuwajibu viongozi wakuu wa chadema.... Maana yake ni kwamba anataka kukijibu chama... Sasa cjajua yeye ni kama nani hadi afikie kukijibu chama
  11. M

    JamiiForums Tanzania Nahitaji msaada, kibamia kinanitesa sana

    Naomba unitafute whatsapp kwa namba hii nikupe njia rahisi na ya haraka 0783566546
  12. M

    JamiiForums Tanzania Rockstar4000 nyuma ya pazia

    Huyo atakuwa ni Ali kiba tu
  13. M

    JamiiForums Tanzania Bunge, Serikali wasaka siri za Tundu Lissu

    Serikali na bunge wanazidi kuumbuka kila kukicha kutokana na ubabe wao usiokuwa na maana.... Na bado, mtaendelea kuumbuka tu.... Mna roho mbaya nyinyi [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
  14. M

    JamiiForums Tanzania Tatizo la Rais Magufuli ni hili

    Hujakielewa alichokiandika Pascal Mayala
Back
Top Bottom