Nahitaji msaada, kibamia kinanitesa sana

Mzee wa kurekebisha

Senior Member
Sep 29, 2012
178
169
Imefikia hatua nawaogopa sana mabinti warefu na wale wenye maumbo makubwa kwa dhana kuwa nitaumbuka lakini nimegundua hata hawa wafupi habari yao si haba.

Baada ya tendo, wengi wameonesha kunidharau wazi, mmoja amewahi kuniambia
eti iko kama PIRITON.

Najisikia vibaya sana wakuu, kama kuna msaada ninaoweza kuupata lakini gharama
zake zisizidi laki 3 naomba mtu anicheck INBOX.
 
Imefikia hatua nawaogopa sana mabinti warefu na wale wenye maumbo
makubwa kwa dhana kuwa nitaumbuka lakini nimegundua hata hawa
wafupi habari yao si haba.

Baada ya tendo wengi wameonesha kunidharau wazi, mmoja amewahi kuniambia
eti iko kama PIRITON.

Najisikia vibaya sana wakuu kama kuna msaada ninaoweza kuupata lakini gharama
zake zisizidi laki 3 naomba mtu anicheck INBOX.

Mkuu kubali hali yako jiunge na chaputa.
 
Imefikia hatua nawaogopa sana mabinti warefu na wale wenye maumbo
makubwa kwa dhana kuwa nitaumbuka lakini nimegundua hata hawa
wafupi habari yao si haba.

Baada ya tendo wengi wameonesha kunidharau wazi, mmoja amewahi kuniambia
eti iko kama PIRITON.

Najisikia vibaya sana wakuu kama kuna msaada ninaoweza kuupata lakini gharama
zake zisizidi laki 3 naomba mtu anicheck INBOX.
Naomba unitafute whatsapp kwa namba hii nikupe njia rahisi na ya haraka 0783566546
 
Imefikia hatua nawaogopa sana mabinti warefu na wale wenye maumbo
makubwa kwa dhana kuwa nitaumbuka lakini nimegundua hata hawa
wafupi habari yao si haba.

Baada ya tendo wengi wameonesha kunidharau wazi, mmoja amewahi kuniambia
eti iko kama PIRITON.

Najisikia vibaya sana wakuu kama kuna msaada ninaoweza kuupata lakini gharama
zake zisizidi laki 3 naomba mtu anicheck INBOX.
Ngoja nichangamkie fursa laki 3 sio mchezo,
 
Wala usihangaike sana kulipia laki tatu zote hizo ni pesa nyingi sana wewe zitafutie biashara halafu endelea na issue nyingine ila kuna dawa ambayo ni bure kabisa wala haina gharama ya pesa tafuta mbegu za papai zimwage sehemu maalumu fanya kama unaanzisha kilimo cha mapapai kisha ile miche ikitoka wewe ipandikize kama kawaida then tafuta mche mmoja ambao unauona utakuwa na maendeleo mazuri kwenye ukuaji kisha fanya kuchanjia Kikate kidogo hicho kiba100 chako kisha Kata na kidogo sehemu ya ule mpapai then unachukua utomvu unapaka pale ulipojikata na kisha unachukua damu yako unapakaza pale kwenye mpapai yani unaunganisha undugu unafanya mabadilishano kati yako na mpapai kisha kadri mpapai unavyozidi kukua kiba100 kitakuwa kinabadilika kitamfuata ndugu yake mpapai kwa hiyo hakitakuwa kiba100 tena itakuwa ni mpapai.
Zingatia njia hii ni ya bure hivyo gharama yako ni muda na uhakikishe unakuwa karibu na ule mpapai sio unachanja leo halafu after one week unasafiri kwenda mkoani au nje ya nchi kwa muda mrefu na kuna mipapai mingine inakuwaga na uhai mrefu halafu huwa inakuwaga mirefu sana sasa usipozingatia kitakachokukuta usirudi tena humu JF mana hakutakuwa na dawa ya kukusaidia labda tutakuambia uende kwa wale ambao walikukimbia kwa ajiri ya una kiba100 huenda maandaki yao yatakuwa yamekuwa makubwa zaidi hivyo wataweza kukumudu.
Yote kwa yote nikutakie safari njema ya kutafuta jina la mwanaume mashine
 
Back
Top Bottom