Recent content by mimi mama

  1. mimi mama

    JamiiForums Tanzania Job Opportunities at Tanzania Railways Corporation (TRC)

    Sorry, eti kituo cha kazi kitakua wapi kwa hizi posts.
  2. mimi mama

    JamiiForums Tanzania Mwongozo wa Namna ya Kuanzisha na Kuendesha Biashara ya Mini Supermarket

    Download application ya SARAFU unaagiza wanakuletea bureeeeee kama upo Dar lkn
  3. mimi mama

    JamiiForums Tanzania Tulioingia kwenye kilimo tukaangukia pua tukutane hapa

    [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
  4. mimi mama

    JamiiForums Tanzania Kwanini mwanamke huwa na aibu kuonesha matiti yake kabla hajazaa ila aibu huisha akizaa na ajali tena?

    Si kweli. Mimi nimezaa na nina watoto wawili ila sijawahi nyonyesha mbele ya strangers. Hata nikiwa home nikitaka kunyonyesha naenda chumbani,na mwanangu kazoea hivyo akitaka nyonyo ananivuta kuelekea chumbani. Nilijijengea hivyo mwenyewe hata kabla sijazaa. Nilikutana na mtu kwenye daladala...
  5. mimi mama

    JamiiForums Tanzania Namtabiria Shilole kuja kuwa msanii wa kike mwenye pesa ndefu kuliko wote

    Pesa kweli anaingiza ndefu ila wasanii wa bongo wengi hawana elimu ya pesa ndio maana wengi inakua ngumu ku maintain maisha walio kuwa nayo kabla pale wanaposhuka kimziki/kisanii. Sent using Jamii Forums mobile app
  6. mimi mama

    JamiiForums Tanzania Weekend is around the corner, nisaidieniii

    Ndio ni mgeni,nina miez kama sita tu. Asante. Sent using Jamii Forums mobile app
  7. mimi mama

    JamiiForums Tanzania Weekend is around the corner, nisaidieniii

    Wanaume wa dar ni waliozaliwa dar,hawa ni wa kigoma kama zito vile au kakobe Sent using Jamii Forums mobile app
  8. mimi mama

    JamiiForums Tanzania Weekend is around the corner, nisaidieniii

    Kwangu hakuna hata huo muembe,nyumba zimebanana haswaa. Hataumia wala hatamuumiza yeyote nitakua namuangalia afu ni mpole hapo alikua kachoka tu. Sent using Jamii Forums mobile app
  9. mimi mama

    JamiiForums Tanzania Weekend is around the corner, nisaidieniii

    Nilikosea,ni mpya ndio nimejiunga march tu Sent using Jamii Forums mobile app
  10. mimi mama

    JamiiForums Tanzania Weekend is around the corner, nisaidieniii

    Huyu ni mdogo,hapo tulikua kwetu kigomaaaa Sent using Jamii Forums mobile app
  11. mimi mama

    JamiiForums Tanzania Weekend is around the corner, nisaidieniii

    Asante. Ukakasi[emoji1] haya bwana Sent using Jamii Forums mobile app
  12. mimi mama

    JamiiForums Tanzania Weekend is around the corner, nisaidieniii

    Ndio ni under five. Sent using Jamii Forums mobile app
  13. mimi mama

    JamiiForums Tanzania Weekend is around the corner, nisaidieniii

    Habari wana jamvi. Naomba mnifahamishe sehemu nzuri ya ufukweni ya kwenda weekend na watoto(wawili under five yrs) nipo dar. Ningependa kujua bei pia kama entrance fee,chakula and the like. Tafadhali,natanguliza shukurani[emoji120] Sent using Jamii Forums mobile app
  14. mimi mama

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kutengeneza barafu za kula (ice cream)

    Asante sana,nitafanyia kazi
  15. mimi mama

    JamiiForums Tanzania Najitambulisha kwenu wakuu naomba mnipokee

    Mbona hujajitambulisha sasa muhenga mwenzangu[emoji28]
Back
Top Bottom