Recent content by mimah100

  1. mimah100

    Plumbing

    So handsome
  2. mimah100

    Mwanaume usikate tamaa unapompenda mwanamke, wanawake wana huruma sana

    Mama huruma huyo.... Mwanamke unaejielewa huwez kuendelea kukaa kwenye chumba cha mwanaume usie na mahusiano nae ukiwa unafahamu kabisa yupo katika uhitaji huo
  3. mimah100

    Jipatie hostel ya kisasa kabisa

    Chumba kimoja wanakaa watu wangap?
  4. mimah100

    Hivi msichana wa miaka 20 anaweza kuolewa akayajua majukumu ya ndoa?

    Kaka yangu mkubwa ameoa msichana wa miaka 19 ila busara, heshima na upendo alonao yule mwanamke hata mimi sina
  5. mimah100

    Ni sababu zipi humfanya mwanamke akubali kuwa mke wa pili ?

    Idadi ya jinsia ya kiume ni ndogo ukilingansha na ya kike
  6. mimah100

    Je, ni sahihi Mwanamke ambaye ameshazaa kufanyiwa Kitchen party, Send-off na Harusi?

    Ni sahihi kwavle hajawah kufanyiwa hvyo so km ni mafundisho au kitu chochote kinachotolewa kwenye hizo shughuli ni haki yake kupata
  7. mimah100

    Arusha kiboko ya wanawake wazuri Tanzania

    Eti wanawake wa dar ni wezi wezi..!!??
  8. mimah100

    Maana ya tukio hili kwa mwanaume na kwa mwanamke

    Ishara ya unyenyekevu pale unapoomba ridhaa Sent using Jamii Forums mobile app
  9. mimah100

    Mwanamke ambaye hahangaiki na simu ya mwanaume wake ni mwenye furaha siku zote

    Hii mimi itanishinda, nina kila sababu kuchunguza simu yake Sent using Jamii Forums mobile app
  10. mimah100

    Penzi alo nipa miaka mitatu iliyopita

    Tanga raha Sent using Jamii Forums mobile app
  11. mimah100

    Masikini Ommy Dimpozi Mungu akusimamie kaka

    Azidishe ibada MUNGU hawezi kumwacha mja wake aangamie
  12. mimah100

    Mohammad Dewji shut that little mouth up!

    Ni hatari mwanamke akiwa na chuki kiasi hiki History haiwez kubadilika ila kumbuka future ipo mikononi mwetu rosemarie
Back
Top Bottom