Ni sababu zipi humfanya mwanamke akubali kuwa mke wa pili ?

Mbishi 4 real

JF-Expert Member
Jan 16, 2014
616
548
Habari za muda huu waungwana

Mfano inapotokea mwanaume umeoa lakini una mwanamke mwingine wa pembeni na anajua fika kwamba umeoa ila anakubali kuwa hata mke wa pili ingawa wote wawili ni wakristu na dini hairuhusu kuhalalisha wake wawili.

Je ni sababu gani humfanya mwanamke atamani hata kuwa mke wa pili na kukuzalia mtoto ?
 
wanaokubali kuwa wake wa pili, wengi wao ni wale waliokuwa mala¥a, wanaringa, nyodo nyingi n.k
we mwanamke embu jiheshimu, tafuta pesa, kuwa wewe then utajua story ya mke wa pili ni outdated.
 
Habari za muda huu waungwana

Mfano inapotokea mwanaume umeoa lakini una mwanamke mwingine wa pembeni na anajua fika kwamba umeoa ila anakubali kuwa hata mke wa pili ingawa wote wawili ni wakristu na dini hairuhusu kuhalalisha wake wawili.

Je ni sababu gani humfanya mwanamke atamani hata kuwa mke wa pili na kukuzalia mtoto ?
Mapenzi ya dhati
 
Labda ni, sehemu ya kutimia kwq tabiri za manabii wa zamani, au ni matukio yanajirudia kwa namna tofauti.

Soma, Isaya.4:1
 
Back
Top Bottom