CUHAS hakuna kitu bora hata kairuki,
Kwanza wanafunzi wa bugando muache kutembea na clinical Coats mitaani, yaani imefikia hatua unalikuta jitu tena MD5 liko na clinical coat Sokoni linaemea bamia.
CUHAS badilikeni acheni ushamba
Hii kwa upande mwingine naona inaleta maana maana kuna majina kiukweli huwa yanakua ya kawaida, kwa mfano nina MABULA kwa jamii ya wasukuma hawa watu asilimia kubwa huwa na Mali nyingi. Sijui kwanin??
Shukran Mkuu kwa kunipa mwangaza japo sijaelewa swala la ardhi maana sijawahi jihusisha na swala la kilimo wala madini, naomba unisaidie ufafanuzi mkuu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.