ITV wako vizuri. kuonyesha sehemu zenye matatizo zaidi ni vyema ili wahusika wajue mapema na kutatua hayo matatizo ili tupate matokeo ya uchaguzi yanayo akisi maoni ya wananchi.
Si ndo Mambo yetu ya uswahili yale, ukijua kuna ela itaingia unaanza kukopakopa, yeye anajua gas ipo ndo maana mambo meeeengi yako katika mipango yatafanyika, kama kuboresha daftari la wapiga kula, kula ya maoni, uchaguzi serikali za mitaa n.k. Ndo maana mtwara walikula kibano saana
Shibuta tatizo lake ni mtu mwenye 'over comfidence' na anajiona yuko sahihi wakati wote,
mtu akiwa hivyo always anakuwa ni tatizo mahali popote hivyo CDM wanalo hilo. kumfukuza sasa hivi si muafaka kabisa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.