naomba msaada tafadhali,luku yangu number 24218162899 ina shida kubwa,wakati imeweka ilikuwa inafanya kazi vizuri lakini ghafla units za umeme zilianza kwisha kwa kasi ya ajabu, nilitoa taarifa tanesco kilimanjaro kuhusu tatizo hilo ushauri walionipa nicheki wiring ya nyumba nzima zoezi hilo...
Anadai hilo jina la Dr mmempa nyie ila yeye anaitwa JJ Mwaka,tunaanza kuona kurudi tena herbalist clinic na utapeli wake,hii ndio madhara ya matamko ya kisiasa hayana backup za kisheria
Kuna vitabu zaidi ya 1000 vimeandikwa na wataalamu mbalimbali kuhusu ndoa lkn hakuna kitabu chochote kilichotoa majibu ya ndoa either kuvunja au kudumu kwake,ndoa kama yalivyo maisha ya binadamu hakuna formula sahihi,Leo maskini kesho tajiri ki kubwa ni mungu tu
Wanawake wangapi wana PHD na bdo wanaheshimu ndoa zao !huo n ufala uliopitiliza tu,hakuna kitu kinachoweza leta dharau ndani ya nyumba km mwanamke anapokuwa mchepukaji kiburi umjaa hatari
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.